Kimewaka bunge la Katiba



hasa uyo kessy anabwabwaja nini kama aliyajua hayo kwanini asiungane na ukawa kutoka nje kwani hicho ndio wanachokipinga ukawa gharama tegemezi kuegemeea upande 1. na anaoufanya yeye ni unafiku si walijiita wengi tena mbona wanageukiana . asiwachezee wazanzibar hawawezi rabda ivo alindwe mpk kufa kwake eee
 
mwambieni komba akapima afya yake angaza na mewata, majibu aweke hapa halafu aanze kutukana wazee kwamba wanasubiri kufa. Anachoogopa komba ni kukosa kazi ya kufanya kwa kuwa hata jeshini hana sifa. Labda aanzishe komedi yake.

tanganyika huruuu
zanzibar huruuu
yes we can
ao ma ccm waisome tu no mwaka huu
 
WaZanzibar wazalendo walitoka humo ,kwani msimamo wao ni tatu au kugawana mbao, hao waliobakia akina Asha ,Hamadi na wengine ni madalali ambao hutumika kama manokoa kati yao wenyewe kwa wenyewe ,vigogo wa ccm wamelijza bunge matarishi wao kibao ,ila sasa watajua kama kazi wanazozifanya ni kujaza maji kwenye pakacha ,Kila mpenda amani aliwaeleza ccm kuwa kama mkiitupa rasimi ya tume ya Warioba basi sio mtapunguza matatizo bali itakuwa mnayaongeza na kero hazitakwisha.huo ni mwanzo tu kuna wengi zaidi ya huyo ,masikini viccm kutoka zanzibar ,kama nawaona vile ni jinsi gani wanavyolambwa kichogo na kubezwa.
 
Mwambieni komba akapima afya yake angaza na mewata, majibu aweke hapa halafu aanze kutukana wazee kwamba wanasubiri kufa. anachoogopa komba ni kukosa kazi ya kufanya kwa kuwa hata jeshini hana sifa. Labda aanzishe komedi yake.

umenichekesha sana mdau
 

atoke,aende wapi???mwache akae,angetoka hayo yalosemwa ungeyajulia wapi??
 
kessy ni jembe, kwani hawa wazanzibari wanafaida gani hapo....Ukawa andaeni maandamano mimi niko tayari muda wowote na nina vijana kama 30 nyuma yangu. bora tufe kuliko kuishi kwa manyanyaso haya ya wadudu hawa ccm.
 
Dr asha rose anaongea kama presidential material
 

bismillah.
kwanza nampa hongera mh kessy kwa ujasiri wake wa kusema yaliyopo na yasiokuwepo.
kwanza alosema co yote ya kweli mengine kaongea ili kuwakera wanaccm tu.
sisi wazanzibar co mzigo na laiti ingekua mzigo kwa serikali ya tanganyika ilivyo na chuki na znz ingekua washaibwaga.
sisi tunaweza kusimama kwa uwezo wetu na ndio maana hatuna haja ya muungano.
asilimia 75 ya mapato ya muungano hutumiwa kwa mambo yasiyo ya muungano km hamjui simeni history.
msitusakame waznz wakome km mzigo watutue
 

Ukweli unauma. Nampongeza Bw Kessy kwa ujasiri wa kusema kilichowazi ingawa wenye macho
Wanajifanya vipofu....Kila mtu na abebe mzigo wake mwenyewe.
 

kiufupi hatuutaki muungano huu usio na adabu.
Tupeni zanzibar yetuuuuuuuu.
Tuchachoka kuungana km vp aletwe doctor wa upasuaji atenganishe sehemu ilioungana.
 
Ukweli unauma. Nampongeza Bw Kessy kwa ujasiri wa kusema kilichowazi ingawa wenye macho
Wanajifanya vipofu....Kila mtu na abebe mzigo wake mwenyewe.

kwani Kati ya Zanzibar na Tanganyika nani anataka muungano?
 
Namkubali sana kessy ... anatema ukweli mtupu... kwa kweli wazenj tunawalea lea sana ... yaani we treat them like kids...

sisi wazanzibar ndo tunawalea nyinyi coz sisi tumekataa muungano zamani tu na ndo maana mnatufunga na kutunyanyasa.
hem tuvunje muungano tuone km tutakufa
 
Ndio ukweli wenyewe. Zanzibar katika mfumo wa serikali mbili ni zigo kubwa kwetu!

zigo ni tanganyika coz sisi tuna mambo yetu ambayo haihusiani na muungano je nyinyi mnayo?
matumizi yenu yote mnatumia pesa za muungano loh ndo maana mnang'ang'ania
 

jimbo moja la zanzibar sawa na kituo kimoja cha mabas yaendayo kasi
 

Mheshimiwa Mbunge, Sasa mbona mlihemkwa vile! Kwani bwana Kessy aliwagusa wapi panapo wapa Maumivu kiasi kile?. Si mnge subiri amalize ili Mumjibu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…