Kimewaka bunge la Katiba

Kimewaka bunge la Katiba

Ujumbe umefika.... waliopo bungeni hawataki kusikia mawazo tofauti na yao.Hii inaonesha kuwa wajumbe wengi wamepanga nini cha kuongea, wakisikia kitu tofauti basi nguvu kubwa inatumika kumnyamazisha mjumbe alietoa hoja. Kesi ameomba radhi kwa kutumia kauli zenye kuudhi ilhali wabunge wengi wamesikika wakimuita chizi...hana akili....akapimwe akili ....kana kwamba lugha hizo zina lahaja ya kufurahisha.This is double standard.Dovutwa ameongea mambo mengi ya kuwachafua ukawa...kuna mbunge kaomba muongozo ikiwa ni halali kuzungumza vitu ambavyo havihusiani na katiba.... sitta akambeza na akasema ilikuwa ni muhimu kusikia vitu hivyo...
Rafiki yangu mmoja ofisini kwetu alipata kusema; "ukikuta Mnyamwezi anapigana na fisi ni afadhali umsaidie fisi kuliko kumsaidia Mnyamwezi". Aliyasema haya japo yeye ni Mnyamwezi toka Kaliua.
 
Ndio ukweli wenyewe. Zanzibar katika mfumo wa serikali mbili ni zigo kubwa kwetu!
 
akina Lizaboni na Simiyu Yetu njooni mumsurubu na huyu sasa.kaona isiwe tabu,gamba kitu gani bhana.kamwaga mboga.teh teh teh
 
Last edited by a moderator:
kwa kweli huyu mfipa ni balaa,Namanyele tulichagua jembe loh kawa maarufu ghafla...gooo Ali Mabodi

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Mheshimiwa Kessy atoa taswira halisi ya Muungano. Wazinzibari hawachangii chochote bara. Vipi kuwe na wabunge wao zaidi 86 wanaogharamiwa na bara wao na wake zao.

Vile vile amehoji vipi Raisi wa Zanzibar awe makamu wa Raisi kwani huku amechaguliwa na nani!

Hali imekua tete ni ngumi mkononi. Mheshimiwa mmoja kutoka zanzibar alikua anatoka nje huku akimwiita Mheshimiwa kessy wakazichape kavu kavu!

Mheshimiwa kessy aliongeza chumvi kwenye kidonda kwa kusema, hata bunge hili maalum la katiba Wazanzibari hawakuchangia.

Jamani hizo ndio hekaya za Muungano wetu wa Ajabu kama alivyo sema Raisi wa Kenya Uhuru Kenyata.
Namkubali sana kessy ... anatema ukweli mtupu... kwa kweli wazenj tunawalea lea sana ... yaani we treat them like kids...
 
Mheshimiwa Kessy atoa taswira halisi ya Muungano. Wazinzibari hawachangii chochote bara. Vipi kuwe na wabunge wao zaidi 86 wanaogharamiwa na bara wao na wake zao.

Vile vile amehoji vipi Raisi wa Zanzibar awe makamu wa Raisi kwani huku amechaguliwa na nani!

Hali imekua tete ni ngumi mkononi. Mheshimiwa mmoja kutoka zanzibar alikua anatoka nje huku akimwiita Mheshimiwa kessy wakazichape kavu kavu!

Mheshimiwa kessy aliongeza chumvi kwenye kidonda kwa kusema, hata bunge hili maalum la katiba Wazanzibari hawakuchangia.

Jamani hizo ndio hekaya za Muungano wetu wa Ajabu kama alivyo sema Raisi wa Kenya Uhuru Kenyata.
Hilo bunge limeshalaaniwa na umma wa watanzania, ambao maoni yao wabunge hao wameamua kuyatia kapuni.Kwa hiyo bora tu wazichape na kutoana mangeu na walazwe hospitali, ili ile quaram ya 2/3 anayoing'ang'ania Samuel Sitta ishindikane, ili mchakato uendelee baada ya udhaguzi mkuu wa mwaka 2015.
 
mwanaume kessy hakun mfano wake.huyu ndio shujaa cyo ukawa mnakimbia vita.kama unajambo unaloliamini sema .
 
Mheshimiwa Kessy atoa taswira halisi ya Muungano. Wazinzibari hawachangii chochote bara. Vipi kuwe na wabunge wao zaidi 86 wanaogharamiwa na bara wao na wake zao.

Vile vile amehoji vipi Raisi wa Zanzibar awe makamu wa Raisi kwani huku amechaguliwa na nani!

Hali imekua tete ni ngumi mkononi. Mheshimiwa mmoja kutoka zanzibar alikua anatoka nje huku akimwiita Mheshimiwa kessy wakazichape kavu kavu!

Mheshimiwa kessy aliongeza chumvi kwenye kidonda kwa kusema, hata bunge hili maalum la katiba Wazanzibari hawakuchangia.

Jamani hizo ndio hekaya za Muungano wetu wa Ajabu kama alivyo sema Raisi wa Kenya Uhuru Kenyata.

KUDOS Mhe Kessy kwa kusema UKWELI uliowashinda wanafiq wote. Utaandikwa katika vitabu vya historia ya nchi hii (i.e Tanganyika).

Msema kweli ni mpenzi wa Mungu, hata kama ukweli huo utakuwa mchungu kwa baadhi ya ndugu zetu.
 
Mheshimiwa Kessy atoa taswira halisi ya Muungano. Wazinzibari hawachangii chochote bara. Vipi kuwe na wabunge wao zaidi 86 wanaogharamiwa na bara wao na wake zao.

Vile vile amehoji vipi Raisi wa Zanzibar awe makamu wa Raisi kwani huku amechaguliwa na nani!

Hali imekua tete ni ngumi mkononi. Mheshimiwa mmoja kutoka zanzibar alikua anatoka nje huku akimwiita Mheshimiwa kessy wakazichape kavu kavu!

Mheshimiwa kessy aliongeza chumvi kwenye kidonda kwa kusema, hata bunge hili maalum la katiba Wazanzibari hawakuchangia.

Jamani hizo ndio hekaya za Muungano wetu wa Ajabu kama alivyo sema Raisi wa Kenya Uhuru Kenyata.

Ally Keissy; the Odd man out! ni "Kenge katika kundi la mamba" ; japo yupo katika kundi la wachumia tumbo na wahafidhina tumpe sifa yake kwani anaisikiliza dhamira yake na kusema ukweli; Tanganyika kwanza; A big up Ally Keissy
 
Mheshimiwa Kessy atoa taswira halisi ya Muungano. Wazinzibari hawachangii chochote bara. Vipi kuwe na wabunge wao zaidi 86 wanaogharamiwa na bara wao na wake zao.

Vile vile amehoji vipi Raisi wa Zanzibar awe makamu wa Raisi kwani huku amechaguliwa na nani!

Hali imekua tete ni ngumi mkononi. Mheshimiwa mmoja kutoka zanzibar alikua anatoka nje huku akimwiita Mheshimiwa kessy wakazichape kavu kavu!

Mheshimiwa kessy aliongeza chumvi kwenye kidonda kwa kusema, hata bunge hili maalum la katiba Wazanzibari hawakuchangia.

Jamani hizo ndio hekaya za Muungano wetu wa Ajabu kama alivyo sema Raisi wa Kenya Uhuru Kenyata.

Haya sasa! Hongera yake mheshimwa Kessy kwa kufanyia kwa vitendo ahadi ya wana TANU "Unafiki kwangu mwiko".

Mheshimiwa kessy aliongeza chumvi kwenye kidonda kwa kusema, hata bunge hili maalum la katiba Wazanzibari hawakuchangia.

Zaidi wanachukua hizo 300,000tsh na kuongezewa na Serikali yao .Hii maigizo ya Mwenyekiti wa BMK sijui stelingi kama atapona.
 
Mwambieni komba akapima afya yake angaza na mewata, majibu aweke hapa halafu aanze kutukana wazee kwamba wanasubiri kufa. anachoogopa komba ni kukosa kazi ya kufanya kwa kuwa hata jeshini hana sifa. Labda aanzishe komedi yake.

Komba NAYE KAMTUSI MZEE WALIOBA MATUSI YA NGUONI. ADAI WALIOBA NI MCHAWI NA MFU ANAYESUBILIA KUFA.

KWA STAILI HII NAONA KAMA MAANDAMANO YA UKAWA YANACHELEWESHWA.

#BACK TANGANYIKA
 
Back
Top Bottom