Kimewaka bunge la Katiba

Kimewaka bunge la Katiba

Alichoongea Kessy wabunge wengi wa CCM wanacho moyoni lakini ujasiri wa kusema hawana, ila nina uhakika kimoyomoyo wanamuunga mkono Kessy. Mnakumbuka ndugai alishasema wakati wa kutunga kanuni kuwa Wazanzibar wakiendelea na kelele zao tutafika mahali tugawane kuni, wenye akili walimuelewa sana na ndiyo hiki anachozungumza Mh. saana Kessy. Nasubiri kwa hamu uchaguzi ujao naamini huku Tanganyika ajenda mojawapo ni kuirudisha Tanganyika, tumechoka sasa kunyonywa na Zanzibar, kama wanataka aidha tuwe na serikali 3 au moja. Tukiwa moja Zanzibar iwe sehemu ya mkoa wa Tanzania, vinginevyo 3 haziepukiki kama tunauhitaji muungano. Asante Kessy you have made my day
 
Hivi hawa CCM, wanatumikia Maslahi ya nani?
 
Back
Top Bottom