Rafiki yangu mmoja ofisini kwetu alipata kusema; "ukikuta Mnyamwezi anapigana na fisi ni afadhali umsaidie fisi kuliko kumsaidia Mnyamwezi". Aliyasema haya japo yeye ni Mnyamwezi toka Kaliua.Ujumbe umefika.... waliopo bungeni hawataki kusikia mawazo tofauti na yao.Hii inaonesha kuwa wajumbe wengi wamepanga nini cha kuongea, wakisikia kitu tofauti basi nguvu kubwa inatumika kumnyamazisha mjumbe alietoa hoja. Kesi ameomba radhi kwa kutumia kauli zenye kuudhi ilhali wabunge wengi wamesikika wakimuita chizi...hana akili....akapimwe akili ....kana kwamba lugha hizo zina lahaja ya kufurahisha.This is double standard.Dovutwa ameongea mambo mengi ya kuwachafua ukawa...kuna mbunge kaomba muongozo ikiwa ni halali kuzungumza vitu ambavyo havihusiani na katiba.... sitta akambeza na akasema ilikuwa ni muhimu kusikia vitu hivyo...
kusema ukweli siyo zambi
Bado wanauguza maumivu waliyopata jana Mlimani city. Ngebe zote tupa kule, Chadema imetoka inang'aa utafikiri nyota ya asubuhi.akina Lizaboni na Simiyu Yetu njooni mumsurubu na huyu sasa.kaona isiwe tabu,gamba kitu gani bhana.kamwaga mboga.teh teh teh
Namkubali sana kessy ... anatema ukweli mtupu... kwa kweli wazenj tunawalea lea sana ... yaani we treat them like kids...Mheshimiwa Kessy atoa taswira halisi ya Muungano. Wazinzibari hawachangii chochote bara. Vipi kuwe na wabunge wao zaidi 86 wanaogharamiwa na bara wao na wake zao.
Vile vile amehoji vipi Raisi wa Zanzibar awe makamu wa Raisi kwani huku amechaguliwa na nani!
Hali imekua tete ni ngumi mkononi. Mheshimiwa mmoja kutoka zanzibar alikua anatoka nje huku akimwiita Mheshimiwa kessy wakazichape kavu kavu!
Mheshimiwa kessy aliongeza chumvi kwenye kidonda kwa kusema, hata bunge hili maalum la katiba Wazanzibari hawakuchangia.
Jamani hizo ndio hekaya za Muungano wetu wa Ajabu kama alivyo sema Raisi wa Kenya Uhuru Kenyata.
Hilo bunge limeshalaaniwa na umma wa watanzania, ambao maoni yao wabunge hao wameamua kuyatia kapuni.Kwa hiyo bora tu wazichape na kutoana mangeu na walazwe hospitali, ili ile quaram ya 2/3 anayoing'ang'ania Samuel Sitta ishindikane, ili mchakato uendelee baada ya udhaguzi mkuu wa mwaka 2015.Mheshimiwa Kessy atoa taswira halisi ya Muungano. Wazinzibari hawachangii chochote bara. Vipi kuwe na wabunge wao zaidi 86 wanaogharamiwa na bara wao na wake zao.
Vile vile amehoji vipi Raisi wa Zanzibar awe makamu wa Raisi kwani huku amechaguliwa na nani!
Hali imekua tete ni ngumi mkononi. Mheshimiwa mmoja kutoka zanzibar alikua anatoka nje huku akimwiita Mheshimiwa kessy wakazichape kavu kavu!
Mheshimiwa kessy aliongeza chumvi kwenye kidonda kwa kusema, hata bunge hili maalum la katiba Wazanzibari hawakuchangia.
Jamani hizo ndio hekaya za Muungano wetu wa Ajabu kama alivyo sema Raisi wa Kenya Uhuru Kenyata.
Mheshimiwa Kessy atoa taswira halisi ya Muungano. Wazinzibari hawachangii chochote bara. Vipi kuwe na wabunge wao zaidi 86 wanaogharamiwa na bara wao na wake zao.

Komba NAYE KAMTUSI MZEE WALIOBA MATUSI YA NGUONI. ADAI WALIOBA NI MCHAWI NA MFU ANAYESUBILIA KUFA.
KWA STAILI HII NAONA KAMA MAANDAMANO YA UKAWA YANACHELEWESHWA.
#BACK TANGANYIKA