Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,890
- 141,552
mods hawajielewi, wanakosa msimamo. Ingawa inawezekana kuna matatizo ya kiufundi.
wamekitoa baada ya maxshimba kuonekana ametoa thanks 500+ wakati wote tulikuwa na zero..
Kweli kabisa hawa watu hata hawajielewi sasa. Wanayumbishwa yumbishwa kama kishada cha karatasi. Mara wakilete...mara wakitoe...mara wakilete tena....mara ghafla kinatoweka.
What the freak is that? Gotdamnit!
nafikiri wanajaribu kuridhisha members lakini hawatoweza kuridhisha kila mmoja. Mambo mengine waache tu yaendelee.
hivi kwa nini walikitoaga kule mwanzoni kabisa??
Kisirudi tena milele kwasababu kilikuwa kinaleta unyanyasaji wa kijinsia tu.
Kivipi Mwita?
You got me JS!! Mwanzoni ipi unayoizungumzia wewe? Manake mwanzoni mwanzoni kabisa kilikuwepo na watu walikuwa hawaombani kama ilivyokuwa hizi mara za karibuni.
Wanawake wanapata nyingi kuliko wanaume ambao tuna mchango mkubwa kuliko wao.