Kimenukaa Urusi vs Marekani

Kimenukaa Urusi vs Marekani

Ile mifumo ni kwa sisi tu tunabishana hapa ila kiukweli hakuna inachoweza fanya
Juzi juzi tu Israel kaingia na ndege zake pale
Putin akaanza piga kelele

Leo kapigwa na hiyo mifumo yake anaanza leta bit za kupeleka aircraft carrier Med Sea
Nimemzarau Sana Putin, US wame vuruga Kambi ya jeshi laanga ya Syria na ndege 20 zimeharibia mbele ya ulinzi wa s-300 na 400, yeye ana sema eti anasubiri wajaributena ndio atajibu kwa nguvu.

Putin ni muoga Sana makeleletu.
 
Russia will never become a loser, Russia is a home of all justice and freedom seekers from early days of freedom fightings and revolutions. If its really going to happen the Almighty God will stand for our beloved Putin and Russians,
Russia has been the umbrella for all socialist activists of the third world young nations including Africa, carribean and Asia.
Long live Putin!!! long live socialist Russia
 
Acheni uongo! Mkipata taarifa za kushtukiza ni vema kwanza mkatembelea BBC, CNN n.k ili muweze kuhakikisha... Hizo ni fake news...
Kwani huko ndio kuna ukweli? Hao si walisema pia sadam ana nyuklia na mabomu ya sumu. Hata sumu ya panya hawakukuta
 
Kwani huko ndio kuna ukweli? Hao si walisema pia sadam ana nyuklia na mabomu ya sumu. Hata sumu ya panya hawakukuta

Trump ni nyokozake, ndiomana nasema akapimwe akili, alimlaumu sana obama kuingilia vita ya syria,kuipiga libya na kumuuwa mwafrika mwenzake sasa kageuka ka nyoka utafikili siyo yeye aliezungumuza haya maneno.shenzi zake
 
Nimemzarau Sana Putin, US wame vuruga Kambi ya jeshi laanga ya Syria na ndege 20 zimeharibia mbele ya ulinzi wa s-300 na 400, yeye ana sema eti anasubiri wajaributena ndio atajibu kwa nguvu.

Putin ni muoga Sana makeleletu.

Mkuu usiwe na halaka kiac icho.tulia tu meli ya urussi inasogezwa hapo ndiyo patamu.utamjua puttin ndiyo nani
 
Back
Top Bottom