Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,590
- 6,956
Huyo mzee akapimwe akili.hamjui puttin huyu
kwa hiyo kama BBC na CNN hawajaitangaza basi hiyo habari haifai kutangazwa na viombo vingine? Daah eti huyu nae great thinker!!Acheni uongo! Mkipata taarifa za kushtukiza ni vema kwanza mkatembelea BBC, CNN n.k ili muweze kuhakikisha... Hizo ni fake news...
Mkuu usipate tabu sana, huyo ni [HASHTAG]#teamBashite[/HASHTAG]kwa hiyo kama BBC na CNN hawajaitangaza basi hiyo habari haifai kutangazwa na viombo vingine? Daah eti huyu nae great thinker!!
Mrusi aliondoa hizo s300 na s400 baada tu ya kutangaza vita kwa asilimia 90 wame winBwana mzee porojo za ooh sijui s300, s400 kwamba ni corner stone ni mbwembwe tu. Hazijawahi kufanya kazi in real time...
Majuzi baada ya ya Mossad kufanya yake, Syria walifyatua kombora lao kwenye fighter jets za IDF, na kombora hilo la SAM lilishushwa na Arrow head defense system,na Israel wakatoa onyo
"
Israel Warns It Will Destroy Syria's Air Defenses "Without Thinking Twice" -http://www.thedrive.com/the-war-zone/8444/israel-warns-it-will-destroy-syrias-air-defenses-without-thinking-twice
kumbuka Syrian Air defense ni pamoja na Russian S300, & S400
Mmarekani alimpa taarifa mrusi kabla hajalipuaAccording to BBC hyo mifumo cha kushangaza haikufua dafu
Trump anaendelea kufeli kisiasa
alisema atafanya kazi na Russia,sasa wanatushiana
alimcheka Obama kwa hatua alizokuwa anachukua dhidi ya Syria,naye anafanya hayo hayo
Acheni uongo! Mkipata taarifa za kushtukiza ni vema kwanza mkatembelea BBC, CNN n.k ili muweze kuhakikisha... Hizo ni fake news...
Wewee ile nchi akarusha hata kajibomu kalichobaki kwenye vita ya pili ya dunia, basi hakuna hata sisimizi atakayesaliaAkimaliza huko aende Somalia na nchi gani ile nimeisahau haijakaa fresh kabisa sijui Taiwan vile
Na baada ya kuingia uwanjani watu wakanywea, wakaanza kupuliza vuvuzelaHamfahamu tu namna vile Warusi walivyo, ile red line waloichora ikivukwa tu basi mtapata kuwafahamu na hapo ndiyo utajua ubora wa hiyo mifumo nk .
Unakumbuka kule Crimea kilichotokea? Pale red line ilivukwa polite people wakaingia uwanjani.
Hakuna lolote hapo kaka acha uoga,subiri utamuona hyo mradi wakoDuh aisee RUSSIA imepeleka Warship Mediterranean ocean kuzikabiri fighting jets za USA zinazorusha makombora sasa hivi Syria kutokea kwenye Destroyers ambazo zipo Pia mediterranean ocean.Hii ni hatar kwa usalama wa dunia.Wale watu wa mungu msali tu sasa huu ndo muda
Russian warship heads toward U.S. Navy after Syria strikes
Russian warship steams toward US destroyers that launched Syria strikes
dah ustadh ungepitia kwanza andiko lako kabla hujaileta hapa.. naona unachanganya destroyer na aircraft carrier.. destroyer inabeba makombora na kushambulia wakati aircraft carrier ndo inabeba ndege nyingi zikiwa za mashbulizi kwa ajili ya kusogeza mashambulizi karibu.. destroyer inabeba helicopter moja au mbili tu kwa ajili ya kufanya operation ndogo ndogo karibu na meli husika japo nyingi hua zinatumika kutrack nyambizi... na kwa suala la uwepo wa S-300 na S-400 ndani ya Syria na kua kwa kua zipo Syria haikutakiwa kua inashambuliwa na nchi kama Israel na jana Usa nadhan kuna ushabiki unatufanya kutofuatilia mambo kwa uhalisia wake.. ulinzi wa anga hua sio swala dogo hasa kama unajilinda dhidi ya adui mwenye uwezo kama Usa na Israel.. kujilinda dhidi ya nchi kama hizi unahitaji kua na mtandao ambao uko intergrated unaounda kitu kama mwamvuli juu ya anga la nchi husika.. mfano unahitaji SAM batteries atleast katika kila eneo ambalo ni strategic, kua na early warning radars, early warning satellites na centeres za kucontrol hizi assets zote.. hivyo kwa kesi ya Syria hii inakua ngumu kwa kua mitambo ya kisasa iliyopo ni minne tu tena nayo iko kwenye base za Russia tu za Tartus na Hynemym(sina uhakika na spelling).. mitambo yenyewe ni S-300V(special kwa kutungua makombora, S-400(special kwa kutungua ndege hasa fixed wing kama fighters), Pantsir S1 (special kwa helicopter, vifaru na drones) ila pia kuna mtambo wa Bastion anti ship(ulinzi wa pwani).. hii mitambo ni michache kwa ulinzi wa nchi nzima na isitoshe ilipelekwa Syria kwa ajili ya kulinda ndege na base za Urusi ndo maana karibu yote imepelekwa pale tu Uturuki walivotungua ndege ya Russia.. Syria ana mitambo yake kwa ajili ya ulinzi wake sema almost yote ni ya enzi za soviet na ni michache pia.. S-300 na S-400 zisingekua na chochote kama makanjanja wengi mnavodai leo China, India, Iran, Turkey na nchi nyingine nyingi zisingekua eager kutaka kuinunua hii mitambo pia Netanyahu asingehaha kwenda Moscow kumshawishi Putin asiruhusu uuzwaji wa S-300 kwa Iran.. Pia isingekua na chochote tungesikia base na ndege za Russia nchini Syria zinahujumiwa lakini hamna kitu kama hicho... Kwa hiyo sa nyingine ni vizuri kuongelea na kuchambua mambo ya bashite na gwajima, mange na diamond maana ndo tunayoyajua sio haya mengineDuh aisee RUSSIA imepeleka Warship Mediterranean ocean kuzikabiri fighting jets za USA zinazorusha makombora sasa hivi Syria kutokea kwenye Destroyers ambazo zipo Pia mediterranean ocean.Hii ni hatar kwa usalama wa dunia.Wale watu wa mungu msali tu sasa huu ndo muda
Russian warship heads toward U.S. Navy after Syria strikes
Russian warship steams toward US destroyers that launched Syria strikes
Big up kwa maelezo ya uhakika na ya kwelidah ustadh ungepitia kwanza andiko lako kabla hujaileta hapa.. naona unachanganya destroyer na aircraft carrier.. destroyer inabeba makombora na kushambulia wakati aircraft carrier ndo inabeba ndege nyingi zikiwa za mashbulizi kwa ajili ya kusogeza mashambulizi karibu.. destroyer inabeba helicopter moja au mbili tu kwa ajili ya kufanya operation ndogo ndogo karibu na meli husika japo nyingi hua zinatumika kutrack nyambizi... na kwa suala la uwepo wa S-300 na S-400 ndani ya Syria na kua kwa kua zipo Syria haikutakiwa kua inashambuliwa na nchi kama Israel na jana Usa nadhan kuna ushabiki unatufanya kutofuatilia mambo kwa uhalisia wake.. ulinzi wa anga hua sio swala dogo hasa kama unajilinda dhidi ya adui mwenye uwezo kama Usa na Israel.. kujilinda dhidi ya nchi kama hizi unahitaji kua na mtandao ambao uko intergrated unaounda kitu kama mwamvuli juu ya anga la nchi husika.. mfano unahitaji SAM batteries atleast katika kila eneo ambalo ni strategic, kua na early warning radars, early warning satellites na centeres za kucontrol hizi assets zote.. hivyo kwa kesi ya Syria hii inakua ngumu kwa kua mitambo ya kisasa iliyopo ni minne tu tena nayo iko kwenye base za Russia tu za Tartus na Hynemym(sina uhakika na spelling).. mitambo yenyewe ni S-300V(special kwa kutungua makombora, S-400(special kwa kutungua ndege hasa fixed wing kama fighters), Pantsir S1 (special kwa helicopter, vifaru na drones) ila pia kuna mtambo wa Bastion anti ship(ulinzi wa pwani).. hii mitambo ni michache kwa ulinzi wa nchi nzima na isitoshe ilipelekwa Syria kwa ajili ya kulinda ndege na base za Urusi ndo maana karibu yote imepelekwa pale tu Uturuki walivotungua ndege ya Russia.. Syria ana mitambo yake kwa ajili ya ulinzi wake sema almost yote ni ya enzi za soviet na ni michache pia.. S-300 na S-400 zisingekua na chochote kama makanjanja wengi mnavodai leo China, India, Iran, Turkey na nchi nyingine nyingi zisingekua eager kutaka kuinunua hii mitambo pia Netanyahu asingehaha kwenda Moscow kumshawishi Putin asiruhusu uuzwaji wa S-300 kwa Iran.. Pia isingekua na chochote tungesikia base na ndege za Russia nchini Syria zinahujumiwa lakini hamna kitu kama hicho... Kwa hiyo sa nyingine ni vizuri kuongelea na kuchambua mambo ya bashite na gwajima, mange na diamond maana ndo tunayoyajua sio haya mengine
Wakaanza kuja na zile hadithi za kale 'vikwazo', hahaa na sasa wanafikiri Trump ndiyo game changer wanachekesha sana aseeNa baada ya kuingia uwanjani watu wakanywea, wakaanza kupuliza vuvuzela
Wakaanza kuja na zile hadithi za kale 'vikwazo', hahaa na sasa wanafikiri Trump ndiyo game changer wanachekesha sana asee

Kuna jamaa angu mmoja nilikuwa Namwambia kwamba huyo Russia ni mdogo kwa America na Israel pia. Kama awo wakina Iran na washirika wake wangekuwa washaiondoa Israel katika ramani ya Dunia. Lakini ukweli ni kwamba awawezi.Ile mifumo ni kwa sisi tu tunabishana hapa ila kiukweli hakuna inachoweza fanya
Juzi juzi tu Israel kaingia na ndege zake pale
Putin akaanza piga kelele
Leo kapigwa na hiyo mifumo yake anaanza leta bit za kupeleka aircraft carrier Med Sea
Mkuu ni swali zuri sana kwa wanazi wa Urusi.. Nijuavyo mimi ni kwamba tangu USSR ivunjike Russia kama kijinchi haina ubavu wa aina yoyote kupambana na USA ni kelele tuu...Tomahawk Cruise misiles, zinarushwa moja kwa moja kutoka kwenye meli za kivita, lakini Kule Syria si kuna mfumo kabambe wa ulinzi WA anga S-300 na S-400 haikufanya kazi,!!!?
Purtin imemuuma sana!,ma S S_300 na 400 ya me feli ku detect hata kombora moja !.Message imewafikia jamaa zake akuna Iran na hezbollah.Tomahawk Cruise misiles, zinarushwa moja kwa moja kutoka kwenye meli za kivita, lakini Kule Syria si kuna mfumo kabambe wa ulinzi WA anga S-300 na S-400 haikufanya kazi,!!!?