Kimenuka Zanzibar! JKU wazichapa na Polisi..

Unajua Rais wenu anachaguliwa Dodoma kwanza kabla ya kuletwa huko?

Unajua Sultan wenu kaporwa Chama Na Mnyamwezi?
Unajua km mababu zako walikua wanakuja kulimishwa Zanzibar
Unajua Zanzibar Ilikua Dola kbla ya nyinyi wanyamwezi
Unajua kwamba Zanzibar ukichukua idadi ya watu ilikua na wasomi wengi kuliko nyinyi wanyamwez na wasukuma
Unajua kwamba katibu Mkuu wa OAU alitoka Zanzibar hakitoka Ukerewee??
Unajua kwamba mpk mwanzon mwa miaka ya 90 neno TV mlikua hamjui maana yakee???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunazungumzia hali ya Sasa hivi sio history Za Mababu

Hata US kihistoria ilikuwa koloni la Uingereza Lakin Leo Hii ni tofauti
 
Tunazungumzia hali ya Sasa hivi sio history Za Mababu

Hata US kihistoria ilikuwa koloni la Uingereza Lakin Leo Hii no tofauti
Sasa hivi una nini cha kujivunia??
Kama si Mwinyi mpka leo TV ingekua ni chombo cha anasa au umesahau aliwakuta KIBIRITI manakiita BIDHAA ADIMU
Muwashukur wazanzibar mpka leo ungekua unakula SEMBE LA NJANO Pambafffffff

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana yake kazi za kuchimba mitaro kumwaga zege kufanya mauaji zenu wala ugari lkn kuongoza kutunga sheria bora mpka mpira hamtuwez roho mbaya choyo dhidi yetu inawaumiza na mtaendelea kuumia Nchi hii hamuipati Ngoo
Piga chinja garagazaa
Shida yao wengi wao wanakula sana urojo hata uchumi inabidwi ujengwe na watu maalumu wanaokula ugali

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mambo yanaharibiwa na wanasiasa tu, kwa nijuavyo mimi ni kwamba askari wa jeshi ambalo sio la ulinzi wa Raia na mali zao(yaani JWTZ au JKT au JKU), ikitokea wakikamatwa na Polisi huwa yanafanyika mawasiliano ya haraka na viongozi wake wa kikosi husika wanakuja kumchukua na kwenda kumuadabisha kwenye sero zao za vikosi vya jeshi kwa sababu kuu mbili: 1; mateso ya vituo vya polisi hayamtishi kabisa huyo mtuhumiwa wa jeshi 2; hawawezi jua kama alikuwa ni kitengo maalumu au Lah, pia ni huwa kulinda Usalama wa Taarifa alizonazo huyo mtu.

Siasa hii na suala la kuanza kuwachanganya hawa watu na Taaluma zao, mara wanafanya kazi za pamoja mara wanakaa huku pamoja ndo inapelekea hata kuwa na uvunjifu wa protokali za msingi kama hizo....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fisiem ni fisiem tu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wazanzibari bana

Eti Uchumi wao unajengwa Na Jeshi!

Unamtukana Magufuli kwa kauli yako hii maana ametutangazia juzi tu hapa kuwa yeye kila nafasi ya uteuzi ikitokea anaona jina la mwanajeshi!
 
Haya mambo yanaharibiwa na wanasiasa tu, kwa nijuavyo mimi ni kwamba askari wa jeshi ambalo sio la ulinzi wa Raia na mali zao(yaani JWTZ au JKT au JKU), ikitokea wakikamatwa na Polisi huwa yanafanyika mawasiliano ya haraka na viongozi wake wa kikosi husika wanakuja kumchukua na kwenda kumuadabisha kwenye sero zao za vikosi vya jeshi kwa sababu kuu mbili: 1; mateso ya vituo vya polisi hayamtishi kabisa huyo mtuhumiwa wa jeshi 2; hawawezi jua kama alikuwa ni kitengo maalumu au Lah, pia ni huwa kulinda Usalama wa Taarifa alizonazo huyo mtu.

Siasa hii na suala la kuanza kuwachanganya hawa watu na Taaluma zao, mara wanafanya kazi za pamoja mara wanakaa huku pamoja ndo inapelekea hata kuwa na uvunjifu wa protokali za msingi kama hizo....

Sent using Jamii Forums mobile app

Jiwe hajui cha protokali, kanuni au sheria. Matokeo yake ndio haya. Na bado; kuna vituko zaidi vyaja.
 
FFU zunguka hao wahalifu pande zote, tandika risasi za miguu, piga na mabomu ya machozi, kamata sukuma ndani
 
Back
Top Bottom