Kimenuka usiku huu kitaa

Ni muhimu kutenganisha mavazi mnapokuwa faragha, yeye akiweka kona ya kulia zako weka kona ya kushoto. Wengi wamejikuta wanavalia na chupi za wanawake na anarudi home full ma confidence.
Kinadada na nyie hivyo vichupi vyenu vya siku hizi vidogo na vilaini mno yaani hata mwanaume ukiivalia kwenye vest huhisi chochote.
 
Mshana una WIFI au shemeji?!!
 
Mkuu mmelala eneo la tukio!? Tueleze yaliyojiri hadi kufikia asubuhi ya leo
 
Dah...hapo ndipo ninapowapendea waislam...ushahidi wa kuzini ni lazima utolewe na watu wazima (40+yrs) watatu walioiona game live [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Dah...prof labda wapinzani wake wa kisiasa walimuwekea mfukoni[emoji13] [emoji13]
 
Km ni mimi ningemsamehe tu kwa kweli,mana si kwa mshtuko uliompata
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…