Kimenuka usiku huu kitaa

mshana wewe ni classic, andika jambo Kwa kina ueleweke, sasa unaandika Kama kina, muda wote, jingalao, Lizabon and the likes.
Si unajua breaking news tena! Habari zilizovunjika[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Mnaotaka ushahidi wa picha lucifer anawaona, yani kabisa kwa fikra zenu mnadhani kidhibiti kitaendelea kubaki eneo la tukio kweli?
 
Hahahaha mkuu umenifanya nicheke kwa sauti.kbs yani usingizi umekata hadi picha ya pichu ije...dah..
 
[emoji160] Nimemsaidia Mshana Jr.
Picha ya kyupi na sidi nyamaza hiyo hapo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…