Kimenuka usiku huu kitaa

Kuna kiongozi aliitoa kama handkachief mkutanoni baada ya kuongea sana jasho likamtoka ndo ikabidi ajipanguse duh tena kainyoosha mara watu shangwe akajua kamwaga madini kumbe. ..
 
With all due respect nina m dedicate wifi Hainaga ushemeji by Man Fongo
Mwambie karibu bandari iliyo salama
 
Itakuwa huyo mdada hapendi ujinga kabisa shamtengeneza
Labda aliwekewa maksudi na huo mchepuko baada ya kuona jamaa anapigiwa simu na mkewe huku akiacha mchepuko haujaridhishwa na income akaamua amharibie
 
Kalaleni kesho muwahi kanisani wengine miskitini...mtashangaa adi saa ngapi asa.
 
Labda aliwekewa maksudi na huo mchepuko baada ya kuona jamaa anapigiwa simu na mkewe huku akiacha mchepuko haujaridhishwa na income akaamua amharibie
Washasema mjini mipango ati
 
mshana wewe ni classic, andika jambo Kwa kina ueleweke, sasa unaandika Kama kina, muda wote, jingalao, Lizabon and the likes.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…