Picha tafadhali...🙂Mshkaji ilikuwa ampokee wifi ubungo stand SAA mbili usiku ila akawa na kazi ya nje mitaa ya ubungo maziwa , akafanya yake kwa nguvu ya nyagi
Kukurupuka Shee yuko stand anapiga cm non stop
Ile panic kumbe jamaa kaondoka na chupi ya mchepuko ndani ya jeans!!! Kufika hm sebuleni mambo hadharani! Bado tuko hapa
brother mshana jr:uwe na huruma na mbavu zetu mkuuMshkaji ilikuwa ampokee wifi ubungo stand SAA mbili usiku ila akawa na kazi ya nje mitaa ya ubungo maziwa , akafanya yake kwa nguvu ya nyagi
Kukurupuka Shee yuko stand anapiga cm non stop
Ile panic kumbe jamaa kaondoka na chupi ya mchepuko ndani ya jeans!!! Kufika hm sebuleni mambo hadharani! Bado tuko hapa
Unataka picha ya nini binti?Bila picha sielewagi
Hata ya kachupi tu[emoji6]Unataka picha ya nini binti?
Nyani wote huteleza from [emoji631] babyy!!!!Siku ya kufa ngabu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
usingizi ushakata nasubiri picha ya chupi hiyoUshahidi muhimu lol! 🙂