Kimenuka Tanga

Yeah nimerudi tena wadau nimemvuta jamaa mmoja pembeni akaniambia ishu ni sensa na jamaa wako ndani na pale post wamefukuzwa wamekuja kukusanyika hapa msikiti wa mkwakwani full barakashia.
 
Heshima wadau,muda huu nimepita Central Polisi na nimeona umati wa waislam na askari polisi wako attention na mabomu ya machozi nilishindwa kujua kunani cos nilikuwa na call ya kwenye tower nitarudi nipate habari kamali niilete jamvini

Sasa ndio kimenuka?
 
Hao watakua hawajafitinishwa na CDM kweli? Kwani mzee Wambura yeye amelizungumzieye tukio hilo?
 
CCM inawadekeza sana waislam ipo siku wataishika makalio ccm

jnawedekeza kivipi wewe
kugoma na kakataa kufanya kitu kwa amani ni haki yako
hakuna kulazimishwa
ukitaka hesabiwa usipotaka funga mlango..liwalo na liwe
 
mkuu wala usijisumbue kujua ni nini kinaendelea. Kuna uzi hapa unasema kuwa hakimu mmoja kawekea dhamana watuhumiwa. Ni ishu hi hii ya sensa, na hao ni wale waliokwepa, sasa mkono wa sheria uko juu yao. Hawa ndugu zetu sijui wana tatizo gani

jesus should save us from people like you, fitina waki dini, who hides himself under the cover of the holy bible, you are traitor to jesus teachings
 
[h=2]Nukuu Sita za Nyerere ambazo CCM hawana budi kuzitafakari kwa makini sana leo hii [/h] 1. "Amini nawaambieni enyi Waswahili wachache mnaotawala; mnategemea kweli kuwa mtawaongoza Watanzania kwa lazima wakati wamepoteza matumaini, na mtegemee kuwa watasalia wamekaa kimya kwa amani na utulivu?"
2. "Amani ni zao la matumaini, pindi matumaini yatakapotoweka kutakuwa na vurugu katika jamii."
3. "Nitashangaa kama hawa Watanzania watakataa kuasi. Kwanini wasiasi?"
4. "Wakati wengi wa wananchi wanapopoteza matumaini unajenga volcano. Volcano hii italipuka siku moja. Labda kama watu hawa ni wajinga."
5. "Na hakutakuwa na watu wa kizazi hiki na karne hii ambao watatakiwa kujitoa muhanga kwa ajili ya maisha bora katika siku zijazo wakakubali, wakati wanawaona watu wachache wakiendelea kuneemeka machoni pao bila kujali wakati ujao, wakati wao na watoto wao wakiendelea kuishi katika maisha duni na dhalili."
6. "Watanzania watakuwa ni wajinga na mataahira, kama watakubali kuendelea kukandamizwa na watu wachache katika nchi yao wenyewe...."

Na ya saba ambayo aliitoa siku nyingi sana;

7. “Siku inakuja ambapo watu watachagua kifo kuliko fedheha na ole wao wale watakoiona siku hiyo! Na ole wao wale watakakaoifanya siku hiyo isiepukike. Natumaini na kusali kuwa siku hiyo kamwe haitofika" - Mwalimu Nyerere (Januari, 1966)

Na nyingine ya nane;

8. “Kwani fursa iko mbele yetu na inategemea kama tuna ujasiri wa kuichukua. Kwani uchaguzi uliopo siyo kati ya kubadilika au kutobadilika; uchaguzi kwa Afrika ni kati ya kujibadilisha au kubadilishwa – kubadilisha maisha yetu wenyewe kwa mwongozo wetu, au kubadilishwa na matokeo ya nguvu zilizo nje ya udhibiti wetu.. .Tunapendelea kushiriki katika kutengeneza hatima yetu sisi wenyewe” –MwalimuNyerere (Januari, 1966)

Nukuu hizi zimo katika kitabu kinachoitwa : Reflections on leadership in Africa: forty years after independence : essays in honour of Mwalimu Julius K. Nyerere, on the occasion of his 75th birthday ' , by Haroub Othman, VUB University Press, 01 Jul 2000.
 
SISIEMU ni chama hatari sana sana kinapandikiza udini,ukabila na mauaji Tanzania

Nukuu Sita za Nyerere ambazo CCM hawana budi kuzitafakari kwa makini sana leo hii

1. "Amini nawaambieni enyi Waswahili wachache mnaotawala; mnategemea kweli kuwa mtawaongoza Watanzania kwa lazima wakati wamepoteza matumaini, na mtegemee kuwa watasalia wamekaa kimya kwa amani na utulivu?"
2. "Amani ni zao la matumaini, pindi matumaini yatakapotoweka kutakuwa na vurugu katika jamii."
3. "Nitashangaa kama hawa Watanzania watakataa kuasi. Kwanini wasiasi?"
4. "Wakati wengi wa wananchi wanapopoteza matumaini unajenga volcano. Volcano hii italipuka siku moja. Labda kama watu hawa ni wajinga."
5. "Na hakutakuwa na watu wa kizazi hiki na karne hii ambao watatakiwa kujitoa muhanga kwa ajili ya maisha bora katika siku zijazo wakakubali, wakati wanawaona watu wachache wakiendelea kuneemeka machoni pao bila kujali wakati ujao, wakati wao na watoto wao wakiendelea kuishi katika maisha duni na dhalili."
6. "Watanzania watakuwa ni wajinga na mataahira, kama watakubali kuendelea kukandamizwa na watu wachache katika nchi yao wenyewe...."

Na ya saba ambayo aliitoa siku nyingi sana;

7. “Siku inakuja ambapo watu watachagua kifo kuliko fedheha na ole wao wale watakoiona siku hiyo! Na ole wao wale watakakaoifanya siku hiyo isiepukike. Natumaini na kusali kuwa siku hiyo kamwe haitofika" - Mwalimu Nyerere (Januari, 1966)

Na nyingine ya nane;

8. “Kwani fursa iko mbele yetu na inategemea kama tuna ujasiri wa kuichukua. Kwani uchaguzi uliopo siyo kati ya kubadilika au kutobadilika; uchaguzi kwa Afrika ni kati ya kujibadilisha au kubadilishwa – kubadilisha maisha yetu wenyewe kwa mwongozo wetu, au kubadilishwa na matokeo ya nguvu zilizo nje ya udhibiti wetu.. .Tunapendelea kushiriki katika kutengeneza hatima yetu sisi wenyewe” –MwalimuNyerere (Januari, 1966)

Nukuu hizi zimo katika kitabu kinachoitwa : Reflections on leadership in Africa: forty years after independence : essays in honour of Mwalimu Julius K. Nyerere, on the occasion of his 75th birthday ' , by Haroub Othman, VUB University Press, 01 Jul 2000.
 
kwa nini govt imeshikia bango SENSA?mbona hakuna majibu ya why turn out ya voters 2010 ilikua ndogo sana?HAPA KUNA SIRI

Kwa nini hawatumii methodology zingine kuhesabu watu? Kimsingi haki ya kutohesabiwa inalindwa na katiba yetu...
 
Wahuni wachache na ponda wao wanatuharibia uislamu wetu

sidhani kama wewe ni muislamu, nadhani wewe ni mamluki. OK,

Mapadri (R C) wametoa takwimu feki za idadi ya watu kwa mujibu wa imani zao=WANA BUSARA (WATU WAZURI).

LAKINI

waislamu wanapoitaka serikali ihesabu watu kwa mujibu wa imani zao kuondoa utata=HAWANA BUSARA (WATU WABAYA)

kuna umuhimu wa kuwa na akili huru, ndio maana siku hizi mwizi=MJANJA, muungwana=MPUUZI. kweli dunia ina maajabu.
 
serikali legelege na rais legelege huzaa askari legelege wanaotishia watu legelege na kuzidi kuwafanya wawe legelege zaidi
 
Back
Top Bottom