Kimenuka: Mamlaka za Marekani zaanza kuquestion upya suala la 9/11 kujua ukweli halisi

Wanafukua makaburi mizimu ikiibuka wataiweza..? Mi nachojua ili habari itolewe hadharani hasa za kijasusi lzm hiyo habari iwe imekufa ili kutosababisha taharuki na visasi watulize mshono kwanza.
 
Ukweli halisi una julikana waarab walitumia akili kubwa
Waarabu? Ila kwakuwa tulielezwa hivyo basi acha tuamini hivyo. Nakumbuka kunamzamiaji mmoja alizamia baharini kwenda kuusaka mwili wa osama. Si jeneza wala mwili ulioonekana....
 
hizi huwa zinaachiliwa kujua ukweli baada ya miaka mia moja hivi hivyo watakaokuwepo watajulishwa wengine wote tutakuwa hatupo duniani
 
wao wenyewe ndio waliyadondosha hayo majengo kwa maslahi yao wenyewe ya kwanza ni insurence na mengine mengi
 
Back
Top Bottom