Kimenuka DRC, maandamano ya kumpinga Kabila

Kimenuka DRC, maandamano ya kumpinga Kabila

Dare to talk openly with your full valid names.

Why do you CRAVE to know my ECCENTRICITY? Are you probably on a SPECIAL ERRAND to LIQUIDATE me? Take care my friend this is a Tutsi BLOKE with a Tutsi WITS and a Tutsi APTITUDE.
 
Sio kweli kwenye hilo jina la Kabange eti anavuta sana Bange, hilo jina linamaanisha kuwa huyo ni Pacha, yeye ni pacha na Dadake Jane

Moses Katumbi, sio Mtutsi, Ni chotara wa Kiyahudi na Kicongo wa Katanga Province

Akhsante kwa kuja! Pole sana kwa kuingia chaka. Nafurahi mno kwani Mikakati yetu ya Kipropaganda sisi Wanyarwanda ya kuwazugeni juu ya Moise kuwa ni Myahudi na Mkongo tuliyoianza miaka 6 iliyopita sasa imeanza kufanikiwa. Nakuomba pia usikae mbali na Media kwani wiki ijayo tunaenda kufanya tena kitu kingine cha Kipropaganda na ambacho kitawatega Wakongo na ndicho kitamfanya Kabila akubali tu kushindwa na Katumbi Chapwe Moise. Chezea Watu wote ila siyo Wanyarwanda na Wahima kwani sisi ndiyo WAYAHUDI wa Afrika. Nakusihi tu tulia tena na tafuta data upya za Kabila.
 
Haaaaaaaaaaaa hivi Ninyi muna jua kinacho wapata kongo sasa hivi
 
Hebu jitanue kifikra mkuu. Wacongo wanajua kuwa wanaongozwa na mnyarwanda. Joseph Kabila ni mtusi wa rwanda kama alivyo bosco ntaganda na laurent nkundabatware (nkunda),jina lake halisi anaitwa Hyporite Kanambe. Mama yake ni dada wa mkuu wa majeshi wa Rwanda James Kabarebe kwa baba mmoja na mama mmoja. Baba yake hyporite alikuwa mshirika mkubwa wa desire kabila, hivyo mzee kanambe alivyofariki kwa kupigwa risasi na kutoswa ziwani, desire kabila akamuoa mama yake hyporite. Mzee Kanambe aliacha watoto wawili, hyporite na dada yake. Hivyo Joseph Kabila ( hyporite) sio mtoto wa Kabila. Mauaji ya Laurent Kabila yaliandaliwa na kutekelezwa na Paulo kagame akishirikiana na yoweri museveni. Ni historia ndefu sana ya kwa nini Kabila aliuawa na Joseph akakabidhiwa nchi. Kanambe anaongoza nchi kwa msaada na matakwa ya kagame na museveni. Sasa wacongo wanayajua haya yote lkn walisubiri muda muafaka ili wamtoe kanambe. Unafikiri ni kwa nini uchaguzi haupo Congo mwaka huu ? Muwe mnajifunza na kudadisi sio kuandikaandika tu msiyoyajua.
ingawa moise anapendwa sana drc lakini pia ana damu ya lebanon. mama yake ndio 100% conglese
 
Back
Top Bottom