Kimenuka DRC, maandamano ya kumpinga Kabila

Kimenuka DRC, maandamano ya kumpinga Kabila

kwa hiyo kagame ni kama limarekani hivi!! ndo maana namkubali sana huyu mtu. sasa kama mtu anaweza ku-destabilize taifa jingine hasa kubwa kama congo kwa maslahi ya wananchi wake, hiz swaga anapenda sana america na ndo maana naipenda sana america
Kila la kheri!
 
Mkuu nakufahamu katika yale mambo yetu hasa ya Papa Cheri JB Mpiana na huku tena!?

Hakuna ambako sipo Mkuu. UTAJIRI pekee ambao Mwenyezi Mungu amenipa na unaonipa JEURI ni kuwa na MAARIFA makubwa na napenda mno kujua mambo mbalimbali na mengi ya kila nyanja na huwa NACHUKIA kama nikiona sijui jambo au kitu fulani bila kusahau nina addiction ya kusoma MAJARIDA / MACHAPISHO mbalimbali bila kusahau mitandao ya Kijamii huku vyombo vya habari kama redio na luninga vikiwa havinipiti mbali. Namshukuru mno Mwenyezi Mungu kwa hivi nilivyo!
 
Kwahiyo huwapendi wahutu walioko huko kwenu gisenyi?

Ni bora unitajie Al Shabaab au Boko Haram au ISIS au Panya Road kuliko kunitajia WAHUTU. Utanitibua sasa hivi halafu nichafue hali ya hewa humu. Hao Watu ( WAHUTU ) wametuua vibaya mno kuliko hata Simba anavyoua Swala nyikani.
 
Hakuna ambako sipo Mkuu. UTAJIRI pekee ambao Mwenyezi Mungu amenipa na unaonipa JEURI ni kuwa na MAARIFA makubwa na napenda mno kujua mambo mbalimbali na mengi ya kila nyanja na huwa NACHUKIA kama nikiona sijui jambo au kitu fulani bila kusahau nina addiction ya kusoma MAJARIDA / MACHAPISHO mbalimbali bila kusahau mitandao ya Kijamii huku vyombo vya habari kama redio na luninga vikiwa havinipiti mbali. Namshukuru mno Mwenyezi Mungu kwa hivi nilivyo!
La brujita acha kujisifia kijinga.
 
Mwanzoni Kabila alitaka kuendelea kubaki madarakani kwa kisingizio cha kufanya sensa ya watu ambayo ingechukua kama miaka mitatu au minne kukamilika, nadhani alishtukiwa kwa hili.
Kwenye SADC ilitakiwa awepo kiongozi anayeweza kusema blue ni blue kama marehemu Levy Mwanawasa wa Zambia ambaye aliwahi kumpa ukweli Mugabe.
 
Mtutsi mwenye asili ya Rwanda. Wewe ukiona tu namsifu sana humu Mtu au nampenda kunakotukuka jua ni Mnyarwanda wa Kabila langu la Tutsi.
Wewe ni muongo mkubwa Moise Katumbi ni mkongomani kwa mama yake ila baba yake ni ;lowea wa kongo mwenye asili ya Islael ni vema ukauliza kuliko kutafuta kick kupitia huyu mtu
 
Ni bora unitajie Al Shabaab au Boko Haram au ISIS au Panya Road kuliko kunitajia WAHUTU. Utanitibua sasa hivi halafu nichafue hali ya hewa humu. Hao Watu ( WAHUTU ) wametuua vibaya mno kuliko hata Simba anavyoua Swala nyikani.
Moderator hebu piga ban huyu mbaguzi.
 
Wewe ni muongo mkubwa Moise Katumbi ni mkongomani kwa mama yake ila baba yake ni ;lowea wa kongo mwenye asili ya Islael ni vema ukauliza kuliko kutafuta kick kupitia huyu mtu

Endelea KUJIDANGANYA na DANGANYWA na hizo PROPAGANDA nyeusi. Kwa si hata wakati Joseph Kabila anakuwa Rais MLIAMINISHWA kuwa ni MKONGOMAN tena wa Katanga je huo UKWELI ndiyo ulivyo? Endelea hivyo hivyo kuwa " JUHA " na tunaoujua mchezo wote TUNAKUCHEKA na KUKUDHARAU. Mtatutambua Watutsi na wana Rwanda!
 
Moise katumbi baba yake anaitwa Nissim Sariano ni muitaliano aliyechanganya na jews toka rhodesia island na wala hana uhusiano wowote na watusi na hata ukimwangalia Katumbia utajua ni mtu aliye changanya damu tofauti kabisa na waswahili wa kitsi mtu kama hujui ni vema ukakaa kimya kuliko kujiropokea bila kufanya utafiti
 
Wala hujakosea Mkuu na labda tu niwaambie wengine kuwa Moise Katumbi Chapwe anawakilisha ule mpango wetu wa kuwa na HIMA / TUTSI EMPIRE Afrika ya Mashariki na tayari tumeshaweza Tanzania, juzi Uganda na kuna Mtu tunamwandaa akamtoe Uhuru na Ruto wake Kenya, tunamsubiri Mzee Mkapa amalize kuwachanganya Waburundi Kisaikolojia huko Arusha ili mwaka huu au mwakani tumweke Mtu wetu huko Burundi huku Rwanda Kwetu akiwepo mwenyewe mwenye UTUTSI wake Paul Kagame na sasa tumeshakamilisha kila kitu cha kumwezesha Mnyarwanda mwenzetu wa Kabila lililobarikiwa KIAKILI, KIVITA, KIMIPANGO na KIMIKAKATI la TUTSI ambaye si mwingine bali ni Tajiri na mmiliki wa Timu ya TP Mazembe Bwana Moise Katumbi Chapwe. Na Sisi Wanyarwanda tutafanya kila liwezekanalo ikibidi hata kujitoa SADAKA ili Katumbi awe Rais wa nchi ya Kidemokrasia ya Watu wa Kongo. Japo Kabila ni Mtutsi mwenzetu ila AMETUSALITI sana kwa Kudanganywa na Vasco Da Gama wa Tanzania ( Mstaafu ) na tutamsamehe mpaka akituomba MSAMAHA kwani tulitoa DAMU za Wanyarwanda akina ( Kadogoo ) ili yeye na Marehemu Baba yake wale Kuku kwa mrija huko DRC lakini AMEJISAHAU na kusahau nguvu ya KITUTSI ambayo HAIZUILIKI na Mtu yoyote isipokuwa tu mwenyewe Mwenyezi Mungu.
Yaani nimejistukia nacheka tu. GENTAMYCINE mtu iliyotukuka, hongera brother, nakuona upo kimkakati zaidi.
 
Ni lini nimekuwa La brujita? Mimi ni GENTAMYCINE period. Nisalimie huko ziarani Kampala nchini Uganda. Naona unabadili badili tu ID lakini MWANAMUME nakujua kirahisi mno. Endelea hivyo hivyo kujidanganya sikujui!

Wewe upo Kampala?
 
Safi sana Mkuu ila kuna masahihisho kidogo. Majina yake kamili Rais wa DRC ni Hypolite Adrian Christopher Kanambe na kwa tuliokua nae kule Msasani, Obey na Mbezi Beach bila kusahau Mkoani Mbeya anajulikana mno kwa jina lake la Kitaa na ambalo analipenda hadi Kesho la " Kabange " na sababu ya kulipenda hilo jina ni kwamba Jamaa anaupenda sana huo " mmea " na ndiyo Kilevi chake Kikuu. Pili Rais Kabila hana Dada mmoja bali ana Dada wawili mkubwa Cecy na mdogo Jane ( ambaye ameishi pia sana tu IKULU ya Nakasero ya nchini Uganda ya Rais Museveni ) na wameishi sana Mikocheni B japo kwa sasa wapo na Mama yao Mbezi Beach katikati ya Makonde na Africana. Huko Tanzania Kwenu Baba yake alikuwa hajulikani kwa jina la Laurent Desire Kabila bali alikuwa akijulikana mno na sana kwa jina la Mzee Charles Simwale. Naomba niishie hapa tafadhali!

Sio kweli kwenye hilo jina la Kabange eti anavuta sana Bange, hilo jina linamaanisha kuwa huyo ni Pacha, yeye ni pacha na Dadake Jane

Moses Katumbi, sio Mtutsi, Ni chotara wa Kiyahudi na Kicongo wa Katanga Province
 
Yaani nimejistukia nacheka tu. GENTAMYCINE mtu iliyotukuka, hongera brother, nakuona upo kimkakati zaidi.

Umesharudi kutoka UAE? Zawadi yangu umeniletea? Tuwasiliane ili nije nimsalimu Cardinal ( Kadinali ) Mwanao.
 
Back
Top Bottom