Mwanakili90
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,568
- 245
Ni jambo la kusikitisha wabunge wa CDM kutoka nje au ulikusudia nini mkuu?
Kwa mtu makini kama MNYIKA. Kufikia hatua ya kutoka nje ujue bunge limeleta upuuzi.
Na kwa mwenendo huu, i swear the peace will perish as soon as ..................