Kimenuka Dodoma kambi ya upinzani wasusia, watoka nje bungeni

wakuu kwani bunge la jioni muda wake wa kwisha ni saa ngapi? nadhani hapo ndo utata ulipoanzia, inaonekana lingeweza kuendelea hadi saa sita usiku maana muda uliisha lakini Mama Makinda akaamua kuendelea sijui alinogewa au ulikuwa ni mkakati? Ila cdm wana intelijensia kali inaonekana walishpitishiwa nyeti kuna huo mkakati ndo wakaamua kujidefend mapemaaaaaaaa!

Safi sana, hawa magamba yatawashuka mwaka huu.
 
Wakati umefika maamuzi makubwa kwa mslahi ya taifa kufanyikia nje ya bunge.
Naona kama CCM inaelekeza usalama wa nchi yetu pabaya.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Leo magamba wamekimbia pako kimya hapa sioni wanachangia chochote maana wanajuwa wazi ni utumbo chama chao kinafanya.
 
Mimi nadhani ukiwa kwenye chama tawana hata uwezo wa kutafakari unakuwa mdogo (namaani kwa wabunge wa magamba). Nimeona David Kafulila naye kwajoin makamand wa CDM
 
Kwa mtu makini kama MNYIKA. Kufikia hatua ya kutoka nje ujue bunge limeleta upuuzi.
Na kwa mwenendo huu, i swear the peace will perish as soon as ..................

Hawa ccm bila kupigana kwanza hatutaheshimiana, na wala hawatajua kuwa tuko serious. Ni lazima tufike mahali tuamue kupigania haki zetu.
 
hawa Magamba,ni hatari sana,huo muswada ukipita tutakalia kuti kavu si mchezo.
hao vijana 2.5m hawana ajira ni kuwapa mtutu tuikomboe nchi.
 
Back
Top Bottom