Kimenuka CCM: Hussein Bashe kufukuzwa uanachama

Kimenuka CCM: Hussein Bashe kufukuzwa uanachama

Status
Not open for further replies.
THE RISE AND FALL OF CCM! Ili andiko litimie mambo haya hayana budi kutokea. Bunge la safari Hii litakuwa zuri sana kuna baadhi ya wakijani watajitoa ufahamu. Raha sana Movie na iendelee! Mwenyekiti wa kiti cha enzi usisahau kumfukuza na Daudi ama sivyo kitanuka kuliko unavyofikiri. Kila la heri huko idodomiya.
 
Kufuatia kikao cha dharura muda huu cha CCM Pamoja na wqjumbe wote imekubaliana kumfukuza uwanachama wa ccm Hussein Bashe na mbunge wa Nzega muda huu baada ya kupigana kikaoni akipiga ukiukaji wa taratibu.

Swali langu:
- Katiba ya CCM inaelekezaje jinsi ya kuwafukuza wanachama watovu wa nidhamu na wasaliti ndani ya chama?

- Je hawapewi nafasi ya kujitetea na kuitwa kuhojiwa?

Mimi naona hapa sasa demokrasia haikufuata mkondo wake kwakua hawajapewa nafasi mbele ya kamati

Shikamoo mwenyekiti mpya wa CCM ya sasa

Hakika namba wameanza kuisoma wale ccm wenyewe

CC Lizaboni
Wameitwa kwenye kamati mbali mbali za wilaya za mikoa mpk kamati kuu kabla ya kupigiwa kura za kishindo kwenye halmashauri kuu. Ni katiba ya ccm hairuhusu rufaa baada ya mchakato huo wa kidemokrasia.
 
Mungu tenda bwana, chozi letu lione.Sambaratisha na kuwachukua hawa wote watesi
 
Ukiwa mkweli ndani chama kile lazma ufukuzwe
 
Kufuatia kikao cha dharura muda huu cha CCM Pamoja na wqjumbe wote imekubaliana kumfukuza uwanachama wa ccm Hussein Bashe na mbunge wa Nzega muda huu baada ya kupigana kikaoni akipiga ukiukaji wa taratibu.

Swali langu:
- Katiba ya CCM inaelekezaje jinsi ya kuwafukuza wanachama watovu wa nidhamu na wasaliti ndani ya chama?

- Je hawapewi nafasi ya kujitetea na kuitwa kuhojiwa?

Mimi naona hapa sasa demokrasia haikufuata mkondo wake kwakua hawajapewa nafasi mbele ya kamati

Shikamoo mwenyekiti mpya wa CCM ya sasa

Hakika namba wameanza kuisoma wale ccm wenyewe

CC Lizaboni
huyu bora amejifukuzisha mwenyewe. yeye bado anatumwa na mabwana zake ambao bado hawaamini ccm sio tena kampuni yao ya biashara.
 
Hata wale watu katika kitabu cha biblia walipotaka kujenga mnara ili wamfikie Mungu, mungu aliwavuruga katika lugha ili wasielewane, sasa basi, acha tuone 2020 kusudi la Mungu
Jipe Moyo. .....Usikate Tamaa.
 
Hata wale watu katika kitabu cha biblia walipotaka kujenga mnara ili wamfikie Mungu, mungu aliwavuruga katika lugha ili wasielewane, sasa basi, acha tuone 2020 kusudi la Mungu
Imani hizo hizo walianza nazo uganda lakin hadi leo museven bado anatawala ukisubiri aman kwa maombi utasubiri sana sana na mda utaenda sana sana. 'Samahani wanamaombi"
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom