Kimenuka CCM: Hussein Bashe kufukuzwa uanachama

Kimenuka CCM: Hussein Bashe kufukuzwa uanachama

Status
Not open for further replies.
Bashe walianza kumtafuta tangu Enzi za Mzee Makamba.
 
Huyo hajaanza leo kutunishia misuri wakubwe zake, na hicho ndicho kilichompanza akaukosa uenyekiti UVCCM aondoke tu na yeye.
 
Wengine kama akina Bashe na wengine walioongezeka Siku za karibuni akina Msukuma ngoja wawafukuze wanajifanya wanauchungu na wananchi kwa kuwapigania wakati mambo kama hayo CCM siyo mahali pake.
 
Hakuna mwenye hati milki ya chama,ikiwezekana mwenyekiti pia nae wamfukuze kwa kumkumbatia bashite!
 
Mimi nitafurahi zaidi ikiwa BASHE atafukuzwa. Maan ni zaidi ya msaliti. Huyu alimuaminisha Lowassa nipo nyuma Yako kumbe opportunist Kama walivyo wakina January,Nape Na Mwigulu.

Lakini kwa upande mwengine itakuwa ni kipimo kizuri kwa upinzani kupitia uchaguzi mdogo. Tutaona muelekeo wa uchaguzi wa 2020 utakuwaje?

Wananchi watakuwa wamemshitukia Magufuli kuwa ni zaidi ya msanii.

Au tume ya uchaguzi (tume ya usalama wa taifa) Ndio itatumika kuamua mshindi. Au wananchi wataheshimiwa maamuzi yao? Maana Huyu bwana mkuu yeye anavyosema anamuogopa Mungu Lkn siku zote huwa najiuliza Mungu yupi? Anayemuogopa yeye ?

Maaana Mungu tunamkosea sana lakini huwa hatudhalilishi , Mungu huwa hapendi watu viburi, Mungu huwa hapendi watu waongo Na Huyu jamaa yetu anazo sifa zote hizo ni Muongo, kiburi Na pia ni mdhalilishaji. Mimi naamini itakuwa ni Huyo Mungu anayesimama Na Basshite.
 
Mimi nitafurahi zaidi ikiwa BASHE atafukuzwa. Maan ni zaidi ya msaliti. Huyu alimuaminisha Lowassa nipo nyuma Yako kumbe opportunist Kama walivyo wakina January,Nape Na Mwigulu.

Lakini kwa upande mwengine itakuwa ni kipimo kizuri kwa upinzani kupitia uchaguzi mdogo. Tutaona muelekeo wa uchaguzi wa 2020 utakuwaje?
Wananchi watakuwa wamemshitukia Magufuli kuwa ni zaidi ya msanii.

Au tume ya uchaguzi (tume ya usalama wa taifa) Ndio itatumika kuamua mshindi. Au wananchi wataheshimiwa maamuzi yao? Maana Huyu bwana mkuu yeye anavyosema anamuogopa Mungu Lkn siku zote huwa najiuliza Mungu yupi? Anayemuogopa yeye ? Maaana Mungu tunamkosea sana lakini huwa hatudhalilishi , Mungu huwa hapendi watu viburi, Mungu huwa hapendi watu waongo Na Huyu jamaa yetu anazo sifa zote hizo ni Muongo, kiburi Na pia ni mdhalilishaji. Mimi naamini itakuwa ni Huyo Mungu anayesimama Na Basshite.
CCM ya kipindi kilichopita ilikuwa inaogopa kuchukulia watu hatua...kwa kuweza kufanya transformation hii...nawapongeza sana CCM . ..kwa sasa CCM ndio inakuwa chama makini kama iliyokuwa CHADEMA ya Dr slaa...na CHADEMA ya sasa inakuwa Ile CCM ya hovyo iliyojaa wezi na mafisadi na wauza arv feki
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom