Kimemkuta kipi zari boss lady?

Kimemkuta kipi zari boss lady?

Lakin kama Diamond anampenda zari hakuna tatizo ,cha muhimu ni mume akupende hao wengine ni ziada tu
 
Kwel wabongo ni noma ukitaka kuishi vizuri na mama mkwe sharti uwe chini.so busara kama ni kweli mama dai amemlisha keki mkwewe na mkono Wa kushuto,so busara mkwe wako kuja sehumu ulipo ugegeni kumtreat like a stranger,si busara kumsokomola mkweo,Mama zetu jifunzeni kiheshimu hisia zetu pia kumbukeni watoto wenu wanaponea kwetu pia chaaaaaaaa!kimeniuma kama mwanamke ndo maana nasema nitabaki kuwa mtazamaji always!siyo vizuri inabidi wamuombe msamaha siyo Picha nzuri kabisa wanatudhalilisha wabongo!ila pia ni fundisho pia kwa mabinti wengine maisha ya zari yasomwe kama gazeti na kama mfano.umeacha watoto wako wanne umekuja kuzama kwa kijana 20's haya ni matokeo tu unamzalia kijana nzao mbili jumlisha na za mume mwingine?kijana dia wewe ni mume wako au mpenzi wako?kwa hizo nzao mbili hata huo sio uzungu mwambie akakutolee mahari kwenu akuoe akajitambulishe kwenu siyo kukuzalisha kama EKUBETA I'm sorry kama nimechapia.
 
Lakin kama Diamond anampenda zari hakuna tatizo ,cha muhimu ni mume akupende hao wengine ni ziada tu
Shida ya timu vigodoro wanamawazo y kyupikyupi tu.....hata kma chibu ni boya kumrudia mwanamke aliekuacha kwa maneno n kashfa atakua boya NO.1 tanzania......huyo shepu ya uyoga zama zake zimeishi wamshauri amrudie ck au jumbe
 
Tandale na uzungu wapi na wapi...wenzenu washazoea kulishana migebuka na maboga mhhhh mwe sijui mwisho wake.
 
why wengine awalishe na mkono wa kulia? me nisingekula kek mkono wa mav hapana ctak mm kuolewa na waswahil wa tandale
 
Waswahili bwana. Sijui mnaishije na mama wakwe zenu aisee. Yaani mama Mkwe akuombe msamaha kwa kukulisha na Mkono wa kushoto? Wewe mwenyewe hujawahi kujilisha kitu na Mkono wa kushoto?

90% of your problems are hypothetical and you are generating them in your mind. Mnakuza mambo, badala ya kuenjoy maisha. Wooi!
 
Kwel wabongo ni noma ukitaka kuishi vizuri na mama mkwe sharti uwe chini.so busara kama ni kweli mama dai amemlisha keki mkwewe na mkono Wa kushuto,so busara mkwe wako kuja sehumu ulipo ugegeni kumtreat like a stranger,si busara kumsokomola mkweo,Mama zetu jifunzeni kiheshimu hisia zetu pia kumbukeni watoto wenu wanaponea kwetu pia chaaaaaaaa!kimeniuma kama mwanamke ndo maana nasema nitabaki kuwa mtazamaji always!siyo vizuri inabidi wamuombe msamaha siyo Picha nzuri kabisa wanatudhalilisha wabongo!ila pia ni fundisho pia kwa mabinti wengine maisha ya zari yasomwe kama gazeti na kama mfano.umeacha watoto wako wanne umekuja kuzama kwa kijana 20's haya ni matokeo tu unamzalia kijana nzao mbili jumlisha na za mume mwingine?kijana dia wewe ni mume wako au mpenzi wako?kwa hizo nzao mbili hata huo sio uzungu mwambie akakutolee mahari kwenu akuoe akajitambulishe kwenu siyo kukuzalisha kama EKUBETA I'm sorry kama nimechapia.
JIFUNZE KUANDIKA.....Message yako not very clear..... inaelekea ULISHAWAHI KUPANGUSWA NA DAI!
 
Duuuh! Huyu dada mbona ameshambuliwa hivyo?
Ila shost na wewe umeongea mengi kwa wakati mmoja, kichwa cha habari na habari, mmmmh
 
hivi ukitaka kupost busara si kupitia angalau mara mbili ulichoandika, uzi wako umekosa uzito stahili, umeandika kama mtu asiyejua kusoma na kuandika!
 
Mmh ya ngoswe muachie ngoswe
Huyu mama Dai tumemchoka sana, ni papa, shangingi la mji na mshamba. Kwanza akajibu huja ya Jerry Koto ya kumchakachua binti yake. Jerry ni mshua safi hawezi kuzusha habari hii. Huyu mama amegeuka kituko, hatulii, hamshauri mtoto wake sawasawa, hebu angalia anavyomlengesha mwanae kwenye laana ya baba yake, huyo mzee hata kama hakumtunza Diamond, sio sawa Diamond kufanywa hukumu ya maisha aliyoishi baba na mama yake. huyu bibi bomba badala ya kutulia waandishwa wakatamani kufuata wao kumhoji, kila leo yuko kwenye media utadhani yeye ndio microphone, mshamba mshamba mshamba na anatia aibu sana na uswahili wake, Hilo la zari mdau hapo juu keshalisema, kizuri chajiuza… sasa kweli watoto 6 umri huo eti anadai bado anadai, wewe umechanika mara sita unadai nini kama sio hizo chemicals na nguo za garama ndani ni scrap tu, bwana mwenyewe ni hivyo vitoto vya bongo flavour vina vyo explore, ukishajiona una bwana anayekimbiza wakina Irene watoto wa shule ujue bado kuna shida, kama huyo bwana angakua anakuthamini angeogopa hata kusalimiana na visichana, puuu, aibu tupu inatakiwa Museveni akutumie ujumbe maana unawatia aibu waganda, labda wewe ni wa nchi nyingine zilizozoea hayo mambo waganda watu wanaojiheshimu sana na wasichana wao ni mali safi, sio mtumba mchovu kama wewe, Wema, bring back our boy!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom