Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Dec 8, 2010 7,518 6,505 Jun 5, 2017 #9 Ni kweli kabisa, Mungu hana upendeleo, huwanyeshea mvua wema na waovu pia
Khantwe JF-Expert Member Dec 20, 2012 59,415 119,417 Jun 5, 2017 #15 mi huwa nacheka hapo penye 'Mungu yupo pamoja na wewe'
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Aug 10, 2012 51,264 47,589 Jun 5, 2017 #16 Khantwe said: mi huwa nacheka hapo penye 'Mungu yupo pamoja na wewe' Click to expand... Mambo
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Nov 25, 2010 62,197 128,127 Jun 5, 2017 #18 Asante Mungu kwa muujiza.
reyzzap JF-Expert Member Oct 3, 2014 6,796 21,702 Jun 5, 2017 #20 Ndo mana unaambiwa usimjarbu bwana........ wako. Itifaki imezingatiwa