Kimasihara mwamba ndio amepotea hivyo

Kimasihara mwamba ndio amepotea hivyo

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
4,119
Reaction score
13,100
Twaha mwaipaya kimasihara ndio imetoka hiyo, hata chama chake ni kama kimemsahau hivi. Zile kelele za free mwaipaya hazisikiki tena.

Mdude, Polepole na sasa Twaha, who's next?

Screenshot_20261107-204043.png
 
Ukweli mchungu ni kwamba binadamu hawawezi kufikiri, kushikilia, au kumbuka kitu kile kile kwa mwendelezo uleule. Ndiyo maana sisiem wanaposema mtapiga kelele na mtatulia kweli wanamaanisha.
 
Twaha mwaipaya kimasihara ndio imetoka hiyo, hata chama chake ni kama kimemsahau hivi. Zile kelele za free mwaipaya hazisikiki tena.

Mdude, Polepole na sasa Twaha, who's next?

View attachment 3706242
Ingekuwa wewe ungefanya muujiza gani, maana sisi ni wataalamu sana kusema ya wengine ingawa kwa mambo yetu wenyewe nasi tunapigwa chenga. Kuna jamaa mmoja huko UK huwa anasema "mimi mke wangu hanibabaishi", na utadhani ni kweli hayo anayosema, lakini mara kadhaa mke wake amekuwa akimbabsisha. Unaona?
 
Back
Top Bottom