Kimara tembon,CDM bendera nusu mlingoti,CCM hawajashusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kimara tembon,CDM bendera nusu mlingoti,CCM hawajashusha

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mkurabitambo, Jul 20, 2012.

 1. M

  Mkurabitambo JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: Feb 3, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  kutokana na ajal ya meli juz,serikal ilitangaza cku 3 za maombolezo.bendera zliamliwa kupepea nusu mlingoti.magamba hawajashusha yakwao.CCM sio Tz?
   
 2. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Huu muungani ni wakinafiki mwanzo mwisho...anae utetea akiwa bungeni hawafanyi hivyo akiwa nje ya bunge au hafanyi kwa vitendo acha tuuvunjilie mbali..
   
 3. mgen

  mgen JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 15,194
  Likes Received: 1,914
  Trophy Points: 280
  Nimepita vingutinguti, pale mahakama ya mbuzi napo bendera ya CDM iko nusu mlingoti na cuf na tlp zipo zinapepea full!
   
Loading...