Prince Akeem
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 886
- 382
hebu acheni utoto jamani siku hizi demand ya CPA imeshuka sana tofauti na zamani,nawajua CPA Holder kibao bado wapo kitaani wanabangaiza tu,miaka ya nyuma ilikuwa ni nadra sana kukuta halmashauri kuna hawa watu ila siku hizi wapo tele wamejaaa.
pia mshaara unategemeana na kampuni inatengenezaje faida hasa huku kwenye private sector ila serikalini unaweza ukapigwa TGS D,PGS 12-14 nk hii ni kwa wanaoanza kazi bila uzoefu
Wachache sana hawajaajiriwa
Yaani kazi zingine bwana....hivi CPA ni zaidi ya Marketing?

sis wangu yupo nccf ni 3.9
sis wangu yupo nccf ni 3.9
Kwamba, thinking of being paid 4m for instance needs to be atleast 5% of what you produce for a firm. Huo ndio ubepari au 'going-on concern' kwa wahasibu!lukindo anamaanisha thamani ya kazi yako kwa kampuni ni nini? Unachangia nini kwa kazi yako kwenye kampuni, ikimaanisha kwa nini wa kuajiri wewe na wakulipe hiyo pesa unayotaka, ni lazima uwe nauwezo wa kuonyesha utaleta tofauti gani kama ukiajiriwa.
Unaongelea vyeti au ujuzi!?dah!hata kama cpa haina ladha sana cku hzi but ni dhambi kuifananisha na marketing,kozi ambayo unaweza kuisomea hata ukiwa bar
nimegundua humu watoto wengi sana.
na wengi wenu hamjawahi kuajiriwa kwenye corporates na kuona mfumo wa formal sector ulivyo.
sikilizeni kwa makini vijana. msijidanganye.
mshahara haupangwi kutokana na elimu uliyonayo. bali unapangwa kutokana na position scale.
hata kama wewe ni profesa. kama kwenye kampuni ukipangiwa kufanya kama secretary wa bosi. basi utalipwa mshahara wa level ya secretary wanavyolipwa.
hata kama wewe ni darasa la saba. kwenye kampuni ukiajiriwa kama ceo.. hapo utalipwa mshahara kwa scale ya ceo ilivyopangwa..
ukiwa bank teller hata uwe na master, cpa sijui phd.. utalipwa kwa scale ya bank teller.
inshort mshahara unapangwa kutokana na cheo ulichonacho. au kazi unayoifanya salary scale yake ni shilingi ngapi.
hii ni dunia ya free market na tunaendeshwa na power of negotiation. mambo ya scale ni huko serikalini lakini kwingine ni uzoefu na elimu vitakubebanimegundua humu watoto wengi sana.
na wengi wenu hamjawahi kuajiriwa kwenye corporates na kuona mfumo wa formal sector ulivyo.
sikilizeni kwa makini vijana. msijidanganye.
mshahara haupangwi kutokana na elimu uliyonayo. bali unapangwa kutokana na position scale.
hata kama wewe ni profesa. kama kwenye kampuni ukipangiwa kufanya kama secretary wa bosi. basi utalipwa mshahara wa level ya secretary wanavyolipwa.
hata kama wewe ni darasa la saba. kwenye kampuni ukiajiriwa kama ceo.. hapo utalipwa mshahara kwa scale ya ceo ilivyopangwa..
ukiwa bank teller hata uwe na master, cpa sijui phd.. utalipwa kwa scale ya bank teller.
inshort mshahara unapangwa kutokana na cheo ulichonacho. au kazi unayoifanya salary scale yake ni shilingi ngapi.
hii ni dunia ya free market na tunaendeshwa na power of negotiation. mambo ya scale ni huko serikalini lakini kwingine ni uzoefu na elimu vitakubeba
nimegundua humu watoto wengi sana.
na wengi wenu hamjawahi kuajiriwa kwenye corporates na kuona mfumo wa formal sector ulivyo.
sikilizeni kwa makini vijana. msijidanganye.
mshahara haupangwi kutokana na elimu uliyonayo. bali unapangwa kutokana na position scale.
hata kama wewe ni profesa. kama kwenye kampuni ukipangiwa kufanya kama secretary wa bosi. basi utalipwa mshahara wa level ya secretary wanavyolipwa.
hata kama wewe ni darasa la saba. kwenye kampuni ukiajiriwa kama ceo.. hapo utalipwa mshahara kwa scale ya ceo ilivyopangwa..
ukiwa bank teller hata uwe na master, cpa sijui phd.. utalipwa kwa scale ya bank teller.
inshort mshahara unapangwa kutokana na cheo ulichonacho. au kazi unayoifanya salary scale yake ni shilingi ngapi.
unafanya kazi wapi wewe??
naomba unijibu ukweli
"""mshahara haupangwi kutokana na elimu uliyonayo. bali unapangwa kutokana na position scale""" Ndivyo ulivyoajiriwa wewe lakini si wengine
General rule ni What you have on mind ndo it determine kiasi gani ulipwe. Sasa kama wewe una phd na umekubali kufanya kazi kama sekretary utalipwa mshahara wa secretary. Lakini kama unafanya kazi inayo MATCH PERFECT WITH THE KNOWLEDGE YOU POSSESS, yafaa ulipwe sawasawa na watu wa level yako.
Demand ya CPA ni kubwa, supply ni ndogo....hamkusoma economics!!! Price lazima iwe juu.
Sasa kama wewe ni CPA umekubali kulipwa ela ya dagaa, ni wewe umeamua. Lakini thamani yako siyo hio. Tutumie akili kwenye ku-negotiate salaries. Mijitu mingine inaenda kwenye interview haijui hata kichwa chao kina gharama gani (product cost)...utawezeje kuuza hiyo bidhaa, lazima upate hasara tu. Chini ya 1.5M sifanyi kazi, Bora nikajiajili