Kima cha chini cha Mshaara wa MANTRAC Tanzania Group

Kima cha chini cha Mshaara wa MANTRAC Tanzania Group

Electric technicians wapo pale na huwa wanaajiriwa..
labda kwa ushauri pia, kama wewe ni electric technician au engineer na bado mchanga au ndio unatoka shule, direction ili utoboe maisha siku za usoni japokuwa wanasema maisha hayana formula bali nakupa njia ambayo itakufanya usisumbuke na maisha baadaye;; MINING AU OIL AND GAS ZIWE NDIO VISON ZAKO.. MINING HAKIKISHA UNAKUWA FUNDI UMEME MZURI WA RIGS HAPO UTAKUWA UMEFUNGUA MILANGO YA KUFANYA KAZI INTERNATIONAL, OIL AND GAS PIA JITAHIDI UINGIE KWENYE ROV au RIG KIUJUMLA,, UKISHINDWA VYOTE HIVYO JITAHIDI UWE FUNDI UMEME MZURI SANA KWENYE ELECTRIC POWER GENERATION ESPECIALLY UWE COMPETENT KWENYE MAGENERATOR MAKUBWA NA MARINE GENERATORS..

ZINGATIA;; THERE IS THE TIME TO LEARN AND THERE IS THE TIME TO EARN.. usifikirie mshahara mkubwa
kwa sasa bali fikiria kujifunza sana uelewe kazi jipe muda..

Shukrani sana kiongoziii nmekupata vilivyo
 
jiran, nimeitwa na awa jamaa kwa usaili ila sijajua wanaanza na wanaishia na ngapi sio vbaya kama utanitonya,
kitengo ni mechanic technician. asante.
Ni kilema kikubwa kufikiria utalipwa sh. Ngapi kabla ya kupata fursa na kuonyesha uwezo wako ili mwajiri akupe thamani kubwa
 
Back
Top Bottom