Kim Jong Un’s Uncle Executed


Wabongo kwa porojo tunaongoza! Wewe ya kwetu hapa yamekishinda kushauri unataka kugeuka mtaalamu wa ushauri wa wakorea?!
 
Wabongo kwa porojo tunaongoza! Wewe ya kwetu hapa yamekishinda kushauri unataka kugeuka mtaalamu wa ushauri wa wakorea?!

Hapana, mambo ya bongo hayajanishinda kwa sababu mimi siyo mwanasiasa. Kuhusu kushauri Tanzania, binafsi nimeshatoa ushauri mwingi sana kwa kutumia njia mbalimbali; kutoa ushauri ni jambo moja, na kuutekeleza ni kitu kingine. Nikiwa kwenye siasa sitafanya ujinga kama unaofanywa na wanasiasa wa Tanzania leo au kama ujinga uliofanywa na huyu bwana mdogo. Kumbuka kuwa kinachotofautisha vichaa na watu wengine ni zile bongo zao; ubongo wangu uko kwenye spectrum tofauti sana na wanasiasa wa Tanzania pamoja na ule wa huyu bwana mdogo.
 
Yaani kesi, hukumu, na kunyongwa siku hiyo hiyo?

Justice system North Korean style!

If proved beyond doubt auwawe hata hapohapo, zile mambo za kusubiri mwaka kumuua mtu na wakati imethibitika kafanya ushenzi ni kwetu Miafrika tu
 
If proved beyond doubt auwawe hata hapohapo, zile mambo za kusubiri mwaka kumuua mtu na wakati imethibitika kafanya ushenzi ni kwetu Miafrika tu
Noma, Iko siku fat boy watamwondoa tu
 
cc Zitto zuberi kabwe na wakili wake msando
hivi ndivyo wasaliti hutendwa, kuanzia usikizwaji wa kesi, hukumu na ukaziaji wa hukumu.
 
Hii nimeipenda labda Ridhiwani akiachiwa kiti watakoma ,kesi siku hiyo na hukumu siku hiyo ,Roma wa watu piga kelele no awards
 
Hii kitu ingeruhusiwa tz sijui huko chadema ingekuwaje
 
He deserved it. Kama alikuwa ameila kiapo ya kutunza siri za nchi yake, kukiuka kiapo ni kifo tu. Sasa hao marekani walukuwa wapi at the time of execution? That should serve as a tough lesson to others wenye tabia ka hizo.
 
Siungi mkono adhabu ya kifo kwa huyu mzee. Huyu mtoto angetumia busara angalau akamweka kizuizini kuliko kumuua. Anyway, he sent out a strong message to everyone that no one will be spared if he could not spare his uncle's life.

Tiba
 
North korea imetangaza imemnyonga mjomba wa kiongozi wa nchi Kim kwa kosa la usaliti.
hii imekuja siku chache tu baada ya kumfukuza kazi
 
Safi,hapa tanzania wana ccm wote tungekua tumeshawanyonga jinsi wanavyotudanganya kila kukicha!mwaka 2005 gesi ya kupikia ilikua sh 18000 kwa mtungi kg15,leo sh54000,sukari sh450 leo sh2000 pamoja na rais,pm kusema iuzwe sh1700
 
Hiyo sheria ikija Tanzania ccm wote watanyongwa.!!
 
nchi za Asia zimepiga maendeleo kwa haraka sana japo tulikuwa nao sawa miaka ya 70.
kwa sababu ya kuwa na sheria kama hizi.
Ebu fikiria Tanzania kiongozi anapewa pesa ya kwenda dubai. thailand na malaysia harafu aendi au akienda anakaa siku moja wakat kapewa pesa ya kukaa siku 6.

na ata aulizwi anatumbua pesa tu
 
North korea imetangaza imemnyonga mjomba wa kiongozi wa nchi Kim kwa kosa la usaliti.
hii imekuja siku chache tu baada ya kumfukuza kazi

hii ni fundisho kwa viongozi wetu kwani lazima udate...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…