Kwa hiyo unataka kuniaminisha kuwa, wewe kuwa mwalimu wa chuo kwa miaka zaidi ya thelathini ndiyo ushahidi usiokuwa na shaka kuwa unafikiria vizuri? Ama ndiyo ushahidi kuwa mawazo yako ni sahihi wakati wote?!
Lecturers wengi mna imani potofu sana! Kufundisha watu kunawafanya mjiamini kupita kiasi! Mnajawa viburi na kuwa wa kwanza kutangaza kazi zenu na miaka yenu kazini ili kulazimisha kusikilizwa! Nimewaona wengi hivyo ninajua ninaloliongelea! Just because wanafunzi wako wanakusikiliza darasani kwako, haimaanishi kuwa uko sahihi wakati mwingi! Kindly, take that as a lesson!
Kwani kuwa na maadui/wapinzani ni kitu kibaya?! So kwako wewe, wale 'wasio na maadui/wapinzani', (if they really do exist) ndio watu wanaofanikiwa katika uongozi!? Ama mtu anatakiwa apendwe na watu wote (asiwe na mpinzani)?!!
Usitishike hizi ni propaganda za vyombo vya habari vya wakubwa wetu. Unakumbuka wakati ule wamembebea bango Mugabe we acha tu!hii ndo made in korea only
Misisiemu bwana ahh, heading kiswahili habari kiinglish
Misisiemu bwana ahh, heading kiswahili habari kiinglish