Kim Jong-un ana ndege kama Air force one

Kim Jong-un ana ndege kama Air force one

Lol!,......Kweli lakini why do they have heavy clothes in the plane?!

1. Inawezekana ikawa swagga tu.
2. inawezekana mkuu akawa kachapia, sasa unajua kwenye nchi ya kidikteta mkuu akichapia inageuka staili, inabidi wote mumuige hivyo hivyo. Dogo siku akiamua kuvaa pichu kichwani, na nyie ndio hivyo hivyo...
 
hahahaha ndugu yangu umenifanya nicheke basi...


SAFARI ZA KIFUTU NI UCHINA NA URUSI BASI HATOKI NJE YA HAPO HUYO.

madikteta walivyo wasanii unaweza kuta picha zimepigwa wakati hilo dude limepaki tu! Nchi nzima unaweza kuta haina hata pilot qualified kulirusha...ndio maana wamevaa mikoti mikubwa mikubwa humo.
 
  • Thanks
Reactions: kui
madikteta walivyo wasanii unaweza kuta picha zimepigwa wakati hilo dude limepaki tu! Nchi nzima unaweza kuta haina hata pilot qualified kulirusha...ndio maana wamevaa mikoti mikubwa mikubwa humo.

Halafu usikute hiyo ni photo-op tu ya kuendeleza propaganda na si kwamba kweli alikuwa sijui angani.

Hao jamaa kwenye propaganda sijaona mpinzani wao aisee.
 
Nyani Ngabu , Una American phobia / proud, propaganda za marekani zimekufanya umejisahau , yote unayosema kuhusu North Korea siyo kweli, Si ajabu huwezi kuamini kwamba North Korea wanaizidi USA kwa literate.
 
Hamna kitu hapo; hako ni Bombadier; single storey; twin engine, hata kina Bono wa U2 na Adebayor wa Tottenham wanavyo!
Airforce One ni boeing 747-4; double storey; four engined; Kiiitu kuuubwa kabisa; configuration na specs zake hakuna kiongozi yeyote hapa duniani anayo, hata gaidi Putin na Xinping wa China hawana.
 
Nyani Ngabu , Una American phobia

Unajua maana ya phobia wewe?

/ proud, propaganda za marekani zimekufanya umejisahau,

Na wewe propaganda za anti-America zimekufanya umejisahau.

yote unayosema kuhusu North Korea siyo kweli,

Yaorodheshe hapa hayo yote niliyoyasema ambayo siyo kweli. Ukishindwa utakuwa mzushi.

Si ajabu huwezi kuamini kwamba North Korea wanaizidi USA kwa literate.

Kwa nini hilo liwe suala la kuamini na si kujua? Weka vyanzo vyako hapa tuvichambue.
 
Hivi huyu jamaa huwa anasafiri kwenda wapi labda?

China...and Rusia maybe...ila China ni mshirika wake...nadhani hata Iran anapokeleka kwa mikono miwili...jiulize nani ana m supply na Uranium anayotumia kutengeneza nuclear ndio utajua ana vijisafari
 
Wewe kielimu hawa wako njema kuliko kina sie wa Africa...hawezi kosa pilot wa ndege afu awe na wataalamu wa kutengeneza na kurusha nuclear...na wala hategemei ku import wataalamu kama kina sie...

madikteta walivyo wasanii unaweza kuta picha zimepigwa wakati hilo dude limepaki tu! Nchi nzima unaweza kuta haina hata pilot qualified kulirusha...ndio maana wamevaa mikoti mikubwa mikubwa humo.
 
Naona mwana wa Kim Jong 'Mentally' Il naye ana li Air Force One lake lenye 'kila aina ya bells and whistles' hata kuweza kuchuana na lile la Obama.

Hapa anakagua gwaride akiwa na totoz......
RED: Najua kwa nini umetumia maneno hayo...badala ya kuandika jina lake kwa heshima yaani kwa usahihi Kim Jong Il !
BLUE: Najua kwa nini umetumia maneno hayo pia ...badala ya ama First Lady ama mke wa Rais wa North Korea...!

Najua...! Umestuka mno. Pia ni harakati zako za kutetea tenda yako kupitia KADI ya KIJANI. Pole.
 
Kwanini hatoki sasa?

Mi sijui. Ukitaka kujua kwa uhakika mwulize yeye.

Ila nimeshawahi kusikia speculations za kwamba hatoki kwa sababu yuko paranoid.

Eti ana hofu ya kupinduliwa. Si unajua tena madikteta walivyo.

Nasisitiza tena: ni speculations tu ambazo nimezisikia mimi kutoka kwa wataalamu mbalimbali kuhusiana na North Korea.

Halafu hana washikaji wengi kivile.

Yaani hiyo nchi ina vituko balaa. Watu wake wanaishi utadhani mifugo.

Pamoja na kuishi kwao kidizaini, kwa kuangalia picha mbalimbali za hiyo nchi, naweza kusema kwamba wametuzidi walau kwenye miundombinu.

Ila hata ukinipa dola bilioni moja unambie nikaishi huko sitoenda.
 
RED: Najua kwa nini umetumia maneno hayo...badala ya kuandika jina lake kwa heshima yaani kwa usahihi Kim Jong Il !

Kama unajua kwa nini nimetumia hayo maneno niambie ni kwa nini nimeyatumia.

BLUE: Najua kwa nini umetumia maneno hayo pia ...badala ya ama First Lady ama mke wa Rais wa North Korea...!

Kama unajua nambie ni kwa nini nimeyatumia hayo maneno.

Najua...!

Hujui.

Umestuka mno.

Ah wapi. Maruerue yako tu. Labda we ndo unajistukia.

Pia ni harakati zako za kutetea tenda yako kupitia KADI ya KIJANI.

Tenda tena?


Ya nini hiyo pole?
 
'Mtumwa mweusi' ana matatizo sana akipata kazi kwa mabwenyenye walaghai; atadharau tu wenzake hata kama atakuwa anashindia na kulalia makombo yaliyoanchwa na mbwa wa bwenyenye.

Vipi, mbona umekasirika hivyo?

Maisha magumu nini?

Kama babako na mamako ni maskini usinikasirikie mimi. Sikukuleta hapa duniani na wala sihusiki na dhiki zako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom