Kim Jong-un ana ndege kama Air force one

Kim Jong-un ana ndege kama Air force one

Kwa hiyo hata ktk vikao vya UN,Marekani huwa haudhuriagi huyo Mr. Kifutu.?!

Hahahahahaaa hajawahi kuhudhuria huyo.

Kwa jinsi alivyo paranoid na kwa jinsi wamtukanavyo Obama unadhani atakanyaga ardhi ya Marekani? Thubutu.

Atakuwa anatuma underlings wake tu.
 
Hahahahahaaa hajawahi kuhudhuria huyo.

Kwa jinsi alivyo paranoid na kwa jinsi wamtukanavyo Obama unadhani atakanyaga ardhi ya Marekani? Thubutu.

Atakuwa anatuma underlings wake tu.

Sasa mdege wote huo wa nini na wakati yeye sio msafiri sana. Bora wangempa msaada "Profesa wetu" ingemsaidia sana.
 
Nyani Ngabu , Una American phobia / proud, propaganda za marekani zimekufanya umejisahau , yote unayosema kuhusu North Korea siyo kweli, Si ajabu huwezi kuamini kwamba North Korea wanaizidi USA kwa literate.

Nilijua huwezi kurudi na kwenda toe to toe na mimi kwa sababu ulikuwa unazusha tu.
 
Sasa mdege wote huo wa nini na wakati yeye sio msafiri sana. Bora wangempa msaada "Profesa wetu" ingemsaidia sana.

North Korea ni mabingwa wa ku stage mambo.

Usikute huo mdege wala haufanyi kazi na waliingia tu humo kupiga mapicha ya kipropaganda.

Unaambiwa nchi nzima eti ina Internet Protocols kama 1,000 tu hivi. Hahahaaaaaa daaaaah.

Hao jamaa wanachekesha sana.

Hivi ushawahi kuwaona wasomaji wao wa habari kwenye runinga?
 
Nachoipendea hii nchi ni kwenye kutunza siri tu.

Wako brainwashed mno.

Hao akina Kim wanaiendesha hiyo nchi kama mali yao.

Eti sasa hivi huyo mshikaji kapiga marufuku watu wengine kuwa na jina kama lake.

Imagine Nyerere angepiga marufuku watu kuitwa 'Julius'.
 
Kama unajua kwa nini nimetumia hayo maneno niambie ni kwa nini nimeyatumia.



Kama unajua nambie ni kwa nini nimeyatumia hayo maneno.



Hujui.



Ah wapi. Maruerue yako tu. Labda we ndo unajistukia.



Tenda tena?



Ya nini hiyo pole?

Ha ha ha.. Umenikosha sana majibu yako Nyani Ngabu.. Maana kuna watu frustrations za majumbani kwao wanahamishia humu JF..
 
Last edited by a moderator:
ss-141116-kim-jong-un-foodstuff-01.jpg

article-2612058-1D508E0B00000578-962_964x638.jpg


140510-kim-jong-un-mn-1130_8bb8bcac0ef6526ade5d8107c4848c54.jpg
1414656536794_wps_2_epa04469383_An_undated_pi.jpg
image.jpg
2014-07-15-02-01.jpg
 
Pwa ha ha ha ha ha

Huyu mshkaji swaga zake zinanifurahisha sana.

Zake ye kupiga mapicha na kuyarusha.

Hivi ana Instgram page au Facebook?
 
Hapa kifutu ndio huwa ananiacha hoi sana.Sipingi yeye kuwa kiongozi ila napinga sera zake za kikomunisti ambazo zimepitwa na wakati japo Vietnam nayo ni ya kikomunisti ila sera zao za kisasa.

Huyu dogo angebadirisha hizo sera zake za kiimla sasa hivi nchi yake ingekuwa mbali sana kiuchumi au kuwa sawa na ndugu zao wa kusini.
 
Wako brainwashed mno.

Hao akina Kim wanaiendesha hiyo nchi kama mali yao.

Eti sasa hivi huyo mshikaji kapiga marufuku watu wengine kuwa na jina kama lake.

Imagine Nyerere angepiga marufuku watu kuitwa 'Julius'.

Kupanga ni kuchagua, Wamarekani wana iendesha Dunia kama mali yao !
 
Kuna sehemu nilisoma wanadai eti baadae mwaka huu ataenda Urusi.

Zaidi ya hilo sidhani kama tokea ashike madaraka katoka nje ya hiyo nchi.

Yaani hao Wakorea Kaskazini wanaishi kama ng'ombe.
umagharibi umekubrainwash sana akili yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom