Kilumbe Ng'enda: Mbunge Azzan Anahusika na Biashara ya Dawa za Kulevya

Nadhani ipo haja ya wananchi kuweka shinikizo zaidi huyu bwana aachie ubunge,hata vyombo vyetu vya usalama havitamchukulia hatua iwe ni uzembe wao ila wananchi tuamke na kuwakataa viongozi kama hawa,mimi sio kwamba nawasikitia tu wale mateja kule barabarani pia najaribu kufikiria wazazi wao wanakuwa na hali gani akipita na.kumuona mwanawe ktk hali kama ile,inauma sana,wahusika wanajulikana lkn hakuna hatua zozote zinachukuliwa......naomba ndani ya Jf hii kampeni ianze rasmi kushinikiza Iddi Azan aachie ubunge,pia wauzaji wengine kama walivyotajwa ktk ile barua toka hong kong kama ---- mtu ana picha za wale watajwa atuwekee hapa tuwajue na kuwataja rasmi kama maadui wakubwa wa hichi kizazi.
 
Anajipeleka polisi kwa sababu kapoteza ushahidi ndoi maana anakimbilia mahakamani. Vithibitisho kavificha ndio maana anjidai kuwa na ujasiri wa aina hiyo.
 
CCM wanatuumiza kwa mengi jamani lakini polisi wanaujua ukweli huu sina shaka ila kwa kuwa anatoka CCM basi .Kile kiwanda cha kusaga meno ya Tembo Dar Mbowe akawaambia akaishia kukamatwa .
 
Duh kumekucha....

You can't educate us on no equal opportunity talking about my freedom, people freedom and liberty!
babylon system is the vampire , sucking the blood of sufferers!
rebel x3
Tell the children the truth x2 Bob Marley, Paris.
 
Sasa Idd Azzan anapojifaragua leo kuwa vyombo vya dola vifanye uchunguzi na akibainika anajiuzulu ndipo tunapata picha kuwa anajua kuwa yeye ni mhusika. Kama katibu wake wa mkoa alimtuhumu hadharani na hakuna mahali anapoonekana akikanusha, na hata kama angetoa kauli ya kukanusha lakini kauli ya katibu wake wa mkoa ilikuwa thabiti na ndio maana baadae alienguliwa uongozini.

Nadhani Idd Azzan atakuwa na watu wazito zaidi nyuma yake, kama waliweza kumuweka pembeni katibu wa mkoa wa dsm watashindwa nini kumnasua sasahivi na kadhia hii ikiwa bado mkuu wa kitengo cha madawa ya kulevya ni mtuhumiwa Godfrey Nzowa!!?

Na asihishie kusema atajiuzuru mkuu inabidi aingie ma kizimbani kisha gerezani kabisa haiwezekan raia kibao wasio na hatia wapo gerezani halafu wenye makosa tena wauza unga wanapeta mtaan "eti" kwasababu wapo katika system.
 
Mwenyekiti wa CCM alishakiri kuwafahamu wafanyabiashara wakubwa wa madawa ya kulevya na akawapa muda wa kujirekebisha au kuacha,kwahiyo basi mwenyekiti wa CCM anahusika kwa kutowachukulia hatua za kisheria hao anaowafahamu na labda naye ni mhusika pia.
Tuhuma binafsi zinamhusisha vipi mwenyekiti na CCM? Kwa maana unataka kusema tuhuma za uzinifu na wizi wa wake zinazomkabili katibu wenu zinaihusisha Chadema na mwenyekiti Mbowe?
 
RICARDO
KAKA
,
Your memory has gone wrong. The statement was said by the Former Prime
Minister Fredrick T. Sumaye. He was in Mwanza visit
mwenzio kaongea kiswahili wewe unaleta kihindi chako wapinawapi.. Mburura!!
..mtoa mada hajakosea
ni kweli mzee makamba alishasema haya wakati fulani wa chaguzi ndogo.
 
Last edited by a moderator:
HUYO KINONDONI yenyewe hakushinda alichakachua mchana kweupe,CCM wote wezi wauza unga ritz1 then adam malima
 
Je, wajua kwa nini Idd Azan alisitisha mbembwe za kuunga mkono kampeni "Vua Gamba" kwa aibu na kwa kuomba msamaha?
Posted 24th May 2011 13:08
SOURCE: IPASHE JUMAPILI - Home

Una fununu ya ugomvi kati ya Madabiba na Azzan?

Kwa kuwa napita; naacha masikio WAZi.....Kusikiliza haina gharama Bagosha...
 
Nadhani ipo haja ya wananchi kuweka shinikizo zaidi huyu bwana aachie ubunge,hata vyombo vyetu vya usalama havitamchukulia hatua iwe ni uzembe wao ila wananchi tuamke na kuwakataa viongozi kama hawa,mimi sio kwamba nawasikitia tu wale mateja kule barabarani pia najaribu kufikiria wazazi wao wanakuwa na hali gani akipita na.kumuona mwanawe ktk hali kama ile,inauma sana,wahusika wanajulikana lkn hakuna hatua zozote zinachukuliwa......naomba ndani ya Jf hii kampeni ianze rasmi kushinikiza Iddi Azan aachie ubunge,pia wauzaji wengine kama walivyotajwa ktk ile barua toka hong kong kama ---- mtu ana picha za wale watajwa atuwekee hapa tuwajue na kuwataja rasmi kama maadui wakubwa wa hichi kizazi.

Ni sawa , lakini ni bora tumjumuishe na Zarina Madabida kwa ile kashfa ya ARV FEKI ! BILA KUMSAHAU LOWASA , CHENGE , HUWEZI KUWAMALIZA MKUU , DAWA PEKEE NI KUONDOA CCM YOTE KUANZIA MATAWI HADI MIZIZI.
 
Wapi?
Ritz
Aunt Deo
Scramble
Shoga Hamy-D
Simiyu yetu
Chris Lukosi
Web cam aka mwizi wa simu
Mafilili
Chama
Tofyo
Mchango wenu ni muhimu sana kwenye hii sehemu ili tuelewe maoni yenu katika suala hili

Wapo sana kutetea ajira ya Lumumba hiyo.
 
Kwa mtazamo wa haraka haraka, huyu bw anahusika zaid ya 70%.
Naamin hatutapata ushahid wa haraka, lakin kwa kuunganisha hizo dots, ukwel tumeshaujua...
Kwahiyo Kinondon jimbo lipo waz 2015, mana naamin kwa sasa hata tufanye nini, jamaa hatajiuzuru...
 
Duhh kumbe haijaanzaa leo!!


Eheee, we Kalumbesa kumbe si mtu wa Dar? Hapa Dar kila mtu hata sisimizi wa pale Kino wanajuwa kuwa Azzan ni zungu wa muda mrefu. Na hii lazima mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam lazima atakuwa pia anajuwa. Kuna wenzake pia (Mama mmoja naye mbunge wa CCM zamani alikuwa anabwabwaja sana bungeni ila siku hizi baada ya kuonywa juu ya uuzaji madawa, kimyaaaa) nao ni vigogo serikalini. Jana alikwenda polisi tu kwa ajili ya kuangalia namna gani atasalimika na kudanganya umma usio jua tabia yake chafu na haramu katika jamii. Huyu jamaa anakula na mapolisi, pia inasemekana anakula na kamishina mkuu wa polisi kwani lile kontena la unga lililokuwa linalindwa kule Kunduchi na mapolisi ruhusa ya hao mapolisi kwenda kulinda kule ilitoka makao makuu. Kwa kifupi, ukiangalia kiundani hii issue ya unga inaweza kumuhusisha hata raisi wetu, mkuu wa mkoa wa Dar, kamishna mkuu wa polisi kanda ya Dar/IGP, na baadhi ya viongozi wengine kwani huwezi kuwa na kiwanja cha kupokelea unga wa namna hii bila viongozi wa serikali kujuwa. Viwanja viko Kunduchi, Zanzibar, Bagamoyo, Kigamboni kule kwa Aboud Jumbe, na sehemu zingine hapa Dar...sasa mpaka hapa serikali kweli haijuwi hii? Huu ni mtandao wa viongozi, ila wanaokufa ni watu walio chini kutaka maisha ya juu kwa kusafirisha mizigo ya wakubwa kwa ajili ya kutanua hapo baadaye.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom