Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 372,737
- 863,623
Usiangalie kilometers angalia uzima wa gari kuna gari zina km chini ya laki lakini zimechoka kabisa na nyingine zaidi ya laki 3 lakini ziko bomba hasaWakuu Gari ikiwa imetembea kilomita ngapi haifai kununua......
Msaada tafadhali