Kilombero: Mapokezi ya diwani (CHADEMA) aliyefungwa miezi 10 yatikisa

Huenda wamejitokeza kumuangalia amedhoofu ama la!! wananchi hatuelewekagi nikikumbuka hata uchaguzi mkuu mzee wa monduli pamoja na nyomi yote kumbe wananchi walijaa kumshangaa movement yake ya kunyata.
Hivi hata kwa akili ya kuazima unaamini Lowassa alishindwa urais ?
 
Badala ya kununua wapiga kura kwa kuwaletea maendeleo, wenyewe wanamnunua mtatiro, waitara yaani mtu mmoja hiyo akili kinyesi, aliyewapa wazo hao ccm kwamba wanaweza kuua upinzani kwa kununua mtu, wamfukuze Mara moja useless kabisa...
huyo ni Polepole
 
kazi kubwa ya wapinzani inayotakiwa kufanywa ni kuhamasisha wapennzi wake na wananchi kwa ujumla kupiga kura. ikiwa watu wengi watapiga kura kuna uwezekano upinzani ukafanya vizuri.
Nionavyo mimi watu wengi hawana hamu ya kupiga kura kutokana na mazingira yaliyopo. ikitokea hivo chama tawala kitashinda kwa urahisi lakini kwa kura chache sana. kwa hivo la muhimu si kampeni bali elimu kwa wapiga kura. watu wana yao ya moyoni na wanaweza kuyatoa kwenye sanduku la kura!
 
Subpost 1 - Baadhi ya (sample) ya magari mapya ya CHADEMA yaliyonunuliwa kwa aji.jpg
 
Back
Top Bottom