Kilombero: Mapokezi ya diwani (CHADEMA) aliyefungwa miezi 10 yatikisa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,703
218,230
Kama tunavyosema mara zote kwamba Hakuna mahali popote katika dunia hii ambapo Mwovu Shetani aliwahi kumshinda Mungu , basi kauli hii imezidi kujidhihirisha .

Diwani wa Kata ya Katindiuka , Mh Furaha Ngaya aliyekuwa jela kwa zaidi ya miezi 10 baada ya kuhukumiwa kwa maelekezo kutoka juu , ameshinda rufaa yake , na haya ndio mapokezi yake .

Subpost 1 - Baada ya fintina na figisu nyingi na kumweka diwani wetu FURAHA NGAN.jpg
 
Kama tunavyosema mara zote kwamba Hakuna mahali popote katika dunia hii ambapo Mwovu Shetani aliwahi kumshinda Mungu , basi kauli hii imezidi kujidhihirisha .

Diwani wa Kata ya Katindiuka , Mh Furaha Ngaya aliyekuwa jela kwa zaidi ya miezi 10 baada ya kuhukumiwa kwa maelekezo kutoka juu , ameshinda rufaa yake , na haya ndio mapokezi yake .

View attachment 902804
Duuh Hata Manji hakupokelewa hivi.

Hiki ndio kipimo cha Kuwa Chadema, Ndio tegemeo la wananchi. Wao waendelee na biashara zao za mnada tu basi.
 
Kama tunavyosema mara zote kwamba Hakuna mahali popote katika dunia hii ambapo Mwovu Shetani aliwahi kumshinda Mungu , basi kauli hii imezidi kujidhihirisha .

Diwani wa Kata ya Katindiuka , Mh Furaha Ngaya aliyekuwa jela kwa zaidi ya miezi 10 baada ya kuhukumiwa kwa maelekezo kutoka juu , ameshinda rufaa yake , na haya ndio mapokezi yake .

View attachment 902804
Huenda wamejitokeza kumuangalia amedhoofu ama la!! wananchi hatuelewekagi nikikumbuka hata uchaguzi mkuu mzee wa monduli pamoja na nyomi yote kumbe wananchi walijaa kumshangaa movement yake ya kunyata.
 
Ccm haitegemei kura za wananchi kutangazwa washindi, wale Wakurugenzi wa hakmashauri na tume ya uchaguzi inawatosha kabisa ukichanganya na Polisi nyumbani kumenoga.
 
Kama tunavyosema mara zote kwamba Hakuna mahali popote katika dunia hii ambapo Mwovu Shetani aliwahi kumshinda Mungu , basi kauli hii imezidi kujidhihirisha .

Diwani wa Kata ya Katindiuka , Mh Furaha Ngaya aliyekuwa jela kwa zaidi ya miezi 10 baada ya kuhukumiwa kwa maelekezo kutoka juu , ameshinda rufaa yake , na haya ndio mapokezi yake .

View attachment 902804
Habari hii imfikie Pascal Mayalla.
 
Jamaa wameishiwa mabomu ya machozi ? Hao walitakiwa wasambaratishwe, Chadema ikifa watanzania wote bata mwanzo mwisho.
 
Badala ya kununua wapiga kura kwa kuwaletea maendeleo, wenyewe wanamnunua mtatiro, waitara yaani mtu mmoja hiyo akili kinyesi, aliyewapa wazo hao ccm kwamba wanaweza kuua upinzani kwa kununua mtu, wamfukuze Mara moja useless kabisa...
nyie mbna mmenunuliwa na mamv au hamjijui???
 
Badala ya kununua wapiga kura kwa kuwaletea maendeleo, wenyewe wanamnunua mtatiro, waitara yaani mtu mmoja hiyo akili kinyesi, aliyewapa wazo hao ccm kwamba wanaweza kuua upinzani kwa kununua mtu, wamfukuze Mara moja useless kabisa...
Point
 
Back
Top Bottom