Gospel music ilitakiwa iwepo, ihusishe wale tu wanaotaka kushiriki masuala ya ulokole wa itikadi kali ndiyo unakwamisha mziki wa injili kupata fursa kama hizi, mbona chanel O hadi gospel music category huwa zinakuwepo kwanini siwe kwetu.
Mpaka wamewaweka ujue wamequalify so hapo ni kazi kwako kumchagua nani mkali zaidi ya wenzie. Mi nafanya kumbonyezea Kiba tu kwa hao wengine najaza tu nitakavyojisikia.
Kwa kweli nifah hta mm am so not happy kabisa why mavoko? Hata khs yamoto pia mapokeo hayajawa makubwa kiivo km tulivotegemea depend on how nyimbo zao zinavopendwa.its weird!!! Cha muhim tuendelee kupiga kura2
Muda wa kiba kushainnnnnn haya twendeeeee
Sioni sababu ya ALI KIBA kutoketokea mara kwa mara. Ni ujinga ujinga tu.
Hzi zitakua ni tuzo mbovu kuwahi zishuhudia.
Na ole wenu BELE 9 asishinde mwaka huu.
Twende kazi.Wakati ukifika ni ku vote kama hatuna akili nzuri.
Kimbembe siku ya kutoa tuzo sasa!
Hiyo siku sijui nitakua katika hali gani.
tatizo basata wanategemea sana kura za raia ili wapate hayo majina. wakati wanatakiwa kufatilia music industry
Twende kazi.Wakati ukifika ni ku vote kama hatuna akili nzuri.
Kimbembe siku ya kutoa tuzo sasa!
Hiyo siku sijui nitakua katika hali gani.
Mbona nuh ziwanda hayupo? Mie naona yupo fresh bwana mdogo 🙂
Hivi hawafanyagi magumashi kweli mana nchi vitu vingi ujanja ujanja.
Hivi hawafanyagi magumashi kweli mana nchi vitu vingi ujanja ujanja.
Hata sielewi mwaya tupige tu hivyo hivyo.
Usisahau kumpigia kura King kwenye tuzo za watu.Kama hujui mchakato nitafute chemba dear.
dogo mbona kapotea? angetoa singo ya pili tungeona sababu ya kumweka hapo
Na utakufa mwaka huu, andaa jeneza tu maana hakuna wimbo bora wa kushindana na Mwana.
Yaani hakuna kitu kinanikera km ule ulazima wa kupigia kategoria zote, agggrrrr
Sawa..., .. Mwana!!??
Shukuruni mnatembelea nyota, na bila hli bifu cjui mngekimbilia wap?