Aaanhaaaa basi hapa ndo nimemuelewa nifah alichokuwa anamaanisha siku ile kuhusu vipengele.
Kwakweli kuna vipengele vingine havinihusu ila ndo vile tunatereza tu!
Zipo tuzo zinaitwa tuzo za watu na Kiba kaingia kwenye kipengele cha msanii wa kiume anayependwa.
Kupiga kure tembelea
www.tuzozawatu.com na ufuate maelekezo.
Fanya hivyo ukishindwa nicheki pm kwa maelezo zaidi.
Hata sielewi mwaya tupige tu hivyo hivyo.
Usisahau kumpigia kura King kwenye tuzo za watu.Kama hujui mchakato nitafute chemba dear.
nifah link ya kupiga kura ni ipi?
Zipo tuzo zinaitwa tuzo za watu na Kiba kaingia kwenye kipengele cha msanii wa kiume anayependwa.
Kupiga kure tembelea
www.tuzozawatu.com na ufuate maelekezo.
Fanya hivyo ukishindwa nicheki pm kwa maelezo zaidi.
Hivi ni mdau gani wa muziki asione kazi kubwa aloifanya mavoko?
Au wanamfanyia makusudi?
Sielewi!!
View attachment 247795View attachment 247796
Lady jaydee dada yako siku zote uongo hupanda lifti na ukweli hupanda ngazi, usikate tamaaa hata kama wamedhamilia kukushusha.
Umeshampigia kwenye tuzo za watu? Mimi tayari na ninavote kila siku.
Hizo za Kill music zikifika nitavote kama sina akili nzuri.
nipe iyo link mpendwa.
halafu jina lako mbona linafanana na la binti. wa binamu yetu,??
Binamu linafana lakini si la binti! Hilo ni jina la ticha wangu MWANAUME miaka ya 90 alinifundisha History nikapiga banda hatari likanipa UGALI juu ya meza mpaka sasa.
Binamu linafana lakini si la binti! Hilo ni jina la ticha wangu MWANAUME miaka ya 90 alinifundisha History nikapiga banda hatari likanipa UGALI juu ya meza mpaka sasa.
Kitambo sana nifah, pamoja sana K4Real. Ingawaje nimeadimika sana lakini wajibu wangu nimeutekeleza kama kawa.Oyoooooo.Na hizi tuzo za mwaka huu ndio most awaited awards!
Njooni sasa tuanze kujiandaa kupiga kura wakati utakapofika. Mdakuzi Matola Avemaria atoto geniveros cute b Abou Saydou Athen Diva Beyonce lukelo sakafu mnyepe na Kiba fans wote.
So bad Yamoto band wamepata nominations mbili tu japo wametamba sana mwaka huu.
Too bad kwa Rich Mavoko pamoja na kujitahidi sana ila sijaona akipata nominations hata 1! Wimbo wa pacha wangu na video yake vilistahili hata kupata tuzo moja!