Negrodemus
JF-Expert Member
- Dec 30, 2010
- 2,318
- 688
sina neno mimi kwa kuwa najua huyo ni mzazi mwenzio penzi maua
ipoo siku eee penzi upepo, ntakuja nyumbani kwa wazazi wako, kuleta barua ya uchumba mie, tufungee ndoaaa na weweeeee
nimefurahia hawa wloimba taarabu za zamani
1. Jamani mapenzi yananitatiza eeeh
kulala siwezi chakula sitaki akiona sumu . .
Jamani taarabu za zamani ntazipata wapi?
Hiki ndo kimenigusa.
Bado sikinde na msondo lol
Usimchezee chatu, ooh chatu we,
Rungu usumtupie, utaukosa ushindi....
Huu wimbo ukipigwa kama nimebanwa na haja kubwa inakata ghafla.
Nimefurahia hawa wloimba Taarabu za zamani
1. Jamani mapenzi yananitatiza eeeh
kulala siwezi chakula sitaki akiona sumu . .
jamani taarabu za zamani ntazipata wapi?
Hiki ndo kimenigusa.
Bado sikinde na msondo lol
Nimefurahia hawa wloimba Taarabu za zamani
1. Jamani mapenzi yananitatiza eeeh
kulala siwezi chakula sitaki akiona sumu . .
jamani taarabu za zamani ntazipata wapi?
Hiki ndo kimenigusa.
Bado sikinde na msondo lol
Una uhakika?????
Redio yangu inatamka Eva, na jana kwenye Tv yangu iliimba Eva, au wewe ulikuwa unasikilia nyuma ya TV?
Una uhakika?????
Redio yangu inatamka Eva, na jana kwenye Tv yangu iliimba Eva, au wewe ulikuwa unasikilia nyuma ya TV?
Unaharibu nyimbo zetu, si Eva bali ni Hiba. Kazi ya Sikinde hiyo ikiimbwa na super stereo Bitchuka ndani ya mwaka 1984..
Inaonekana wewe ni mbongo fleva kukurupukia usiyoyajuwa: huu wimbo unaitwa Hiba utunzi wake Muharami Saidi ukiimbwa na Bitchuka, na bendi ni Sikinde. Pengine hiyo redio yako ina kongosho/kigugumuzi. Ukitaka uhakika zaidi muulize hata rais Kikwete kwani naye ni mpenzi mkubwa wa Nginde!
hivi tule tunguo walitovaa wakina diamond ntaweza kwel kuvaa na tumbo hili? Hata kama fashen wacha inipite ka vile tommy yupo kwenye audition.
vile vya watoto, wamevaa kwa checklist.
Utadhani walikuwa na kalamu na karatasi wanatick
koti limematch na socks?
Nywele zina dawa?
Viatu vinamatch na ky..p?
Walimatchisha mno.
Watu wazima piga kama G. habash bana.
wapi hakuna ugentleman??