Kilio hiki bwana Lowassa utakilipia kabla ya 2015

Muwe mnaweka hakiba ya maneno. JF inawaumbua watu kwa kutoweka sehemu ya kufuta mada safi sana jamaa angekuwa kashafuta uzi
 
Nakazia maneno, wewe ni muuaji na lazima nawe ufe tena ufe tukusahau kabisa kama Alvov Mejavic,

Miezi sita iliyopita ulijitwalia kwanguvu umiliki wa wana BODABODA katika ardhi ya Tanganyika bila hata kupitia PPR ama mbadulaluvanza, ukawajaza ujinga, ukawateka wakatekeka na ukawaambia wewe ni alfa na omega,

Leo serikali ya chama chako imekupiga ngwara, imechora mstari kwa bodaboda kuiona pepo ya mjini daslam, ndio hawatakiwi kula baga posta wala kuona vimini samora, umewanyima haki yao yamsingi yakustarehesha macho na roho zao,

Sasa wanalia kilio cha mbwa mwizi meno yote thelathina nje mbili. Hawajui wapeleke wapi hizo bodaboda, wapo wanaofikiria kuhamia Monduli huenda huko kukawa na unafuu maana nasikia wewe huko una jamhuri yako na utakuw rais wa Malaigwanani huko,

Tabia hii yakusaka umaarufu kwa nguvu utailipia tu utake usitake, na malupo yake ni kifo kama ulivyoua machipuzi ya makinda hawa wengi wao waliosoma shule za kata, umesababisha Muhimbili ifurike antena za vilema kwasababu yakusaka sifa zako,

Umewanunilia bodaboda huku ukijua sera ya chama chako haiwataki mijini?? Kweli wewe hufai hata kuwa mwenyekiti wa kwaya ya kanisa langu langu la Marastafari,

Nasema tena utalipa kwa kifo kitakatifu kabla ya 2015, kilio cha mnyonge kinabaraka za Jah.

Nyie vijana wa bodaboda, Chadema ndiemkombozi wenu kwa sera yake nzuri ya ajira kwa vijana, unganeni kuikomboa nchi dhidi ya majitu mumiani kama Edward Ngoyai Lowassa.
Duh, kweli kuna watu hawana mishipa ya aibu! Si kwa unafiki huu
 
Unafiki wa kiwango cha kunuka -Uvundo. Halafu hayawani fulani anakuja hapa anasema siasa siyo sayansi kama siyo utapeli ni nini? I wish I could be Magufuli!
 
Yericko ni mkazi wa Mbutu Kigamboni bila shaka kanisa hilo litakuwa pale Mji Mwema njia panda kwenda south beach,kipepeo na sunrise
Unajua kinachoniuma mimi ni kuona vijana wazuri na wasomi kama kina Yericko Lissu na wengine wanakuwa wakweli tu kuwasema ccm lakini wanashindwa kuwa kama Bashe kuwasema walionao huko kwao. Hili pekee linatifua nyonga sana.
 
bila hata kupitia PPR ama mbadulaluvanza, ukawajaza.
Mkuu Yericko Nyerere
naomba tuu kuuliza, hilo neno PPR, lina maana gani?.

Lengo sio kufukua makaburi, bali kujifunza na kujiridhisha kuhusu matumizi ya herufi hizo tatu za PPR kwenye uzi huu zilimaanisha nini, kwa sababu kuna maeneo fulani, herufi hizo ni brand ya mtu.

Kwa msiofahamu, hata mimi niliitwa katika bandiko hili na huyu
Subiri Pasco aje akupe za uso
Hana uwezo wakuja na hoja za kupangulia hoja zangu,
Hata mimi nilichangia hapa
Kilio hiki bwana Lowassa utakilipia kabla ya 2015
na hapa
Kilio hiki bwana Lowassa utakilipia kabla ya 2015

ila ni leo ndio nimegundua kumbe hata
Yericko Nyerere mwenyewe
hakuweza kunisoma ndio maana hakunijibu michango yangu kwenye uzi huu, au Mkuu Yericko Nyerere
ulinisoma na kunielewa nilichoandika kwenye hiyo michango yangu miwili ila ukaamua usinijibu?.

P.
 
Back
Top Bottom