Kilio hiki bwana Lowassa utakilipia kabla ya 2015

Kilio hiki bwana Lowassa utakilipia kabla ya 2015

`nakazia maneno wewe (lowasa) ni muuaji, lazima na wewe ufe, tena ufe tukusahau'- yeriko nyerere. Tuamini vipi stability ya statement zako za leo, ikifika kesho? ndo maana tunasisitiza kuwa, ni vigumu sana kuiamini chadema.
 
`nakazia maneno wewe (lowasa) ni muuaji, lazima na wewe ufe, tena ufe tukusahau'- yeriko nyerere. Tuamini vipi stability ya statement zako za leo, ikifika kesho? ndo maana tunasisitiza kuwa, ni vigumu sana kuiamini chadema.
alimuombea hadi kifo Mzee wa watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakazia maneno, wewe ni muuaji na lazima nawe ufe tena ufe tukusahau kabisa kama Alvov Mejavic,

Miezi sita iliyopita ulijitwalia kwanguvu umiliki wa wana BODABODA katika ardhi ya Tanganyika bila hata kupitia PPR ama mbadulaluvanza, ukawajaza ujinga, ukawateka wakatekeka na ukawaambia wewe ni alfa na omega,

Leo serikali ya chama chako imekupiga ngwara, imechora mstari kwa bodaboda kuiona pepo ya mjini daslam, ndio hawatakiwi kula baga posta wala kuona vimini samora, umewanyima haki yao yamsingi yakustarehesha macho na roho zao,

Sasa wanalia kilio cha mbwa mwizi meno yote thelathina nje mbili. Hawajui wapeleke wapi hizo bodaboda, wapo wanaofikiria kuhamia Monduli huenda huko kukawa na unafuu maana nasikia wewe huko una jamhuri yako na utakuw rais wa Malaigwanani huko,

Tabia hii yakusaka umaarufu kwa nguvu utailipia tu utake usitake, na malupo yake ni kifo kama ulivyoua machipuzi ya makinda hawa wengi wao waliosoma shule za kata, umesababisha Muhimbili ifurike antena za vilema kwasababu yakusaka sifa zako,

Umewanunilia bodaboda huku ukijua sera ya chama chako haiwataki mijini?? Kweli wewe hufai hata kuwa mwenyekiti wa kwaya ya kanisa langu langu la Marastafari,

Nasema tena utalipa kwa kifo kitakatifu kabla ya 2015, kilio cha mnyonge kinabaraka za Jah.

Nyie vijana wa bodaboda, Chadema ndiemkombozi wenu kwa sera yake nzuri ya ajira kwa vijana, unganeni kuikomboa nchi dhidi ya majitu mumiani kama Edward Ngoyai Lowassa.
 
Huyo ndio Yeriko Nyerere,bora kinyonga kuliko hii mitu
 
Hehee leo nimepima uwezo wawana jf, hakika nalazimika kujisifu bila kusubiri kusifiwa,

Sijajua idadi ya wajinga kujiunga jf imeongezeka au idadi ya werevu kuwepo jf imepungu?

Wana jf, ndani ya miezi sita iliyopita Lowassa ametumia milioni 680, kununua bodaboda na kufadhiri waendeshesha bodaboda wapatao laki 570 kwa mikoa ya mwanza na Dar pekee, amewaahidi kuwa wafanye kazi bila kubughudhiwa na kuwa yeye ndie rais ajae wa Tz,

Lakini leo wanafukuzwa mijini huku yeye anakula pa diemu zake za kutosha pale Dom.

Hahaaahaa Jah simama nimi kwa kile neno huru!
Siamini ni wewe umebadili gia na kuwa mtetezi Wã lowassa
 
8abc10f613e81935b82db922c441495b.jpg
Si ndio huyu
94d0f26ac9fce5e348338888658ee07e.jpg
huwa anabadilika kama kinyonga
Tehehetehe
 
...Tabia hii yakusaka umaarufu kwa nguvu utailipia tu utake usitake, na malupo yake ni kifo kama ulivyoua machipuzi ya makinda hawa wengi wao waliosoma shule za kata, umesababisha Muhimbili ifurike antena za vilema kwasababu yakusaka sifa zako,..
Ha ha ha, jasusi Yericko katika ubora wake.
 
Huyu jamaa mmeamua kumuumbua sasa kwa unafiki, naona kila siku kaburi baada ya kaburi linafukuliwa.
Huyu na BAK ni wanafiki sana wa kiwango cha barabara ya zege.
 
akili za vijana was chadema zimejaa mavi,hakuna watu wapumbavu kama wale.Ndio maana Mkapa alisema hao wapumbavu na malofa siyo ya kusikiliza.Ukimsikiliza tundu lissu unagundua kuwa akili haziko zote kichwani,subirini mdai mmeibiwa kura tens 2020 shenzi kabisa
 
akili za vijana was chadema zimejaa mavi,hakuna watu wapumbavu kama wale.Ndio maana Mkapa alisema hao wapumbavu na malofa siyo ya kusikiliza.Ukimsikiliza tundu lissu unagundua kuwa akili haziko zote kichwani,subirini mdai mmeibiwa kura tens 2020 shenzi kabisa
ni rahisi sana kuwaburuza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom