Kilio hiki bwana Lowassa utakilipia kabla ya 2015

Mkuu Yericko Nyerere
naomba tuu kuuliza, hilo neno PPR, lina maana gani?.

Lengo sio kufukua makaburi, bali kujifunza na kujiridhisha kuhusu matumizi ya herufi hizo tatu za PPR kwenye uzi huu zilimaanisha nini, kwa sababu kuna maeneo fulani, herufi hizo ni brand ya mtu.

Kwa msiofahamu, hata mimi niliitwa katika bandiko hili na huyu

Hata mimi nilichangia hapa

na hapa

ila ni leo ndio nimegundua kumbe hata
Yericko Nyerere mwenyewe
hakuweza kunisoma ndio maana hakunijibu michango yangu kwenye uzi huu, au Mkuu Yericko Nyerere
ulinisoma na kunielewa nilichoandika kwenye hiyo michango yangu miwili ila ukaamua usinijibu?.

P.
Akikujibu Ngosha mtani wangu nistue. Katika waandika mada hapa niache unafiki nikupongeze. Uzuri wako ngosha unapopotoka watu wakikurekebisha japo wengine hutumia lugha za kashfa bado huwa unawajibu kwa staha na wala hukimbii jamvi. Huyu mtaalamu wa kijasusi anaokota maresearch kwa ku google halafu anaandika kitabu as if yeye ni mtunzi kumbe ni C&P. Kujibu swali ulilomuuliza labda PPR alimaanisha..., projection pursuit regression
 
Mkuu Yericko Nyerere
naomba tuu kuuliza, hilo neno PPR, lina maana gani?.

Lengo sio kufukua makaburi, bali kujifunza na kujiridhisha kuhusu matumizi ya herufi hizo tatu za PPR kwenye uzi huu zilimaanisha nini, kwa sababu kuna maeneo fulani, herufi hizo ni brand ya mtu.

Kwa msiofahamu, hata mimi niliitwa katika bandiko hili na huyu

Hata mimi nilichangia hapa
Kilio hiki bwana Lowassa utakilipia kabla ya 2015
na hapa
Kilio hiki bwana Lowassa utakilipia kabla ya 2015

ila ni leo ndio nimegundua kumbe hata
Yericko Nyerere mwenyewe
hakuweza kunisoma ndio maana hakunijibu michango yangu kwenye uzi huu, au Mkuu Yericko Nyerere
ulinisoma na kunielewa nilichoandika kwenye hiyo michango yangu miwili ila ukaamua usinijibu?.

P.
Hahahaaaaa naona usha anza kazi ulio tumwa.....soon the truth to be out
 
Nakazia maneno, wewe ni muuaji na lazima nawe ufe tena ufe tukusahau kabisa kama Alvov Mejavic,

Miezi sita iliyopita ulijitwalia kwanguvu umiliki wa wana BODABODA katika ardhi ya Tanganyika bila hata kupitia PPR ama mbadulaluvanza, ukawajaza ujinga, ukawateka wakatekeka na ukawaambia wewe ni alfa na omega,

Leo serikali ya chama chako imekupiga ngwara, imechora mstari kwa bodaboda kuiona pepo ya mjini daslam, ndio hawatakiwi kula baga posta wala kuona vimini samora, umewanyima haki yao yamsingi yakustarehesha macho na roho zao,

Sasa wanalia kilio cha mbwa mwizi meno yote thelathina nje mbili. Hawajui wapeleke wapi hizo bodaboda, wapo wanaofikiria kuhamia Monduli huenda huko kukawa na unafuu maana nasikia wewe huko una jamhuri yako na utakuw rais wa Malaigwanani huko,

Tabia hii yakusaka umaarufu kwa nguvu utailipia tu utake usitake, na malupo yake ni kifo kama ulivyoua machipuzi ya makinda hawa wengi wao waliosoma shule za kata, umesababisha Muhimbili ifurike antena za vilema kwasababu yakusaka sifa zako,

Umewanunilia bodaboda huku ukijua sera ya chama chako haiwataki mijini?? Kweli wewe hufai hata kuwa mwenyekiti wa kwaya ya kanisa langu langu la Marastafari,

Nasema tena utalipa kwa kifo kitakatifu kabla ya 2015, kilio cha mnyonge kinabaraka za Jah.

Nyie vijana wa bodaboda, Chadema ndiemkombozi wenu kwa sera yake nzuri ya ajira kwa vijana, unganeni kuikomboa nchi dhidi ya majitu mumiani kama Edward Ngoyai Lowassa.
[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Ndo maana mimi mpaka leo mtu wa mwisho kumuamini kwenye maisha ya kila siku ni mwanasiasa! Hata hawa ninaowaona wanaimba mapambio wakimsifu JPM najua it is just a matter of time. Kila mtu anahangaikia tumbo lake.

Kila nikikumbuka Mange alivyomtukana Lowassa 2015 na Uchambuzi 'maridhawa' wa ndugu yangu Chahali kumhusu Lowassa. Nasema ngoja niendelee kuwa mpiga kura mtiifu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Siasa ni 'blariful' kabisa!!!!
 
mkuu bora ya mange kuliko hawa wanasiasa wetu uchwara.
 
Mkuu Yericko Nyerere
naomba tuu kuuliza, hilo neno PPR, lina maana gani?.

Lengo sio kufukua makaburi, bali kujifunza na kujiridhisha kuhusu matumizi ya herufi hizo tatu za PPR kwenye uzi huu zilimaanisha nini, kwa sababu kuna maeneo fulani, herufi hizo ni brand ya mtu.

Kwa msiofahamu, hata mimi niliitwa katika bandiko hili na huyu

Hata mimi nilichangia hapa
Kilio hiki bwana Lowassa utakilipia kabla ya 2015
na hapa
Kilio hiki bwana Lowassa utakilipia kabla ya 2015

ila ni leo ndio nimegundua kumbe hata
Yericko Nyerere mwenyewe
hakuweza kunisoma ndio maana hakunijibu michango yangu kwenye uzi huu, au Mkuu Yericko Nyerere
ulinisoma na kunielewa nilichoandika kwenye hiyo michango yangu miwili ila ukaamua usinijibu?.

P.
Pasco bora umetokea maana umeshauliziwa kila kona
 
Ndo maana mimi mpaka leo mtu wa mwisho kumuamini kwenye maisha ya kila siku ni mwanasiasa! Hata hawa ninaowaona wanaimba mapambio wakimsifu JPM najua it is just a matter of time. Kila mtu anahangaikia tumbo lake.

Kila nikikumbuka Mange alivyomtukana Lowassa 2015 na Uchambuzi 'maridhawa' wa ndugu yangu Chahali kumhusu Lowassa. Nasema ngoja niendelee kuwa mpiga kura mtiifu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Siasa ni 'blariful' kabisa!!!!
Umesema kweli "pacha wangu" tuliyejiunga JF siku moja. Mange ndie aliyezusha kuwa EDO amejiendea haja kubwa!!!!
 
I like JF...! Aisee, zikifukuliwa nyuzi za zamani ni hatari ni hatari...!? Kama unamshipi wa aibu unatamani ardhi ipasuke ikumeze.
 
Mkuu Yericko Nyerere
naomba tuu kuuliza, hilo neno PPR, lina maana gani?.

Lengo sio kufukua makaburi, bali kujifunza na kujiridhisha kuhusu matumizi ya herufi hizo tatu za PPR kwenye uzi huu zilimaanisha nini, kwa sababu kuna maeneo fulani, herufi hizo ni brand ya mtu.

Kwa msiofahamu, hata mimi niliitwa katika bandiko hili na huyu

Hata mimi nilichangia hapa
Kilio hiki bwana Lowassa utakilipia kabla ya 2015
na hapa
Kilio hiki bwana Lowassa utakilipia kabla ya 2015

ila ni leo ndio nimegundua kumbe hata
Yericko Nyerere mwenyewe
hakuweza kunisoma ndio maana hakunijibu michango yangu kwenye uzi huu, au Mkuu Yericko Nyerere
ulinisoma na kunielewa nilichoandika kwenye hiyo michango yangu miwili ila ukaamua usinijibu?.

P.
Mkuu, akikujibu unistue. Huyu muzee ya "ujasusi via google" ni bonge la mnafiki.
 
Ndo una mcheka mwenzako au hahaha
Nitake radhi. Mie sio tapeli. Na sijawahi kukopi kazi ya mtu kisha niitangaze kuwa yangu. Na kubwa zaidi nimeridhika na elimu ndogo niliyonayo badala ya kuzusha "nimesoma Urusi" (labda anasema Urusi ili msimwongeleshe Kiingereza)
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13]

MasanjaJF-Expert Member
[HASHTAG]#427[/HASHTAG]
Today at 11:17 AM

New
Ndo maana mimi mpaka leo mtu wa mwisho kumuamini kwenye maisha ya kila siku ni mwanasiasa! Hata hawa ninaowaona wanaimba mapambio wakimsifu JPM najua it is just a matter of time. Kila mtu anahangaikia tumbo lake.

Kila nikikumbuka Mange alivyomtukana Lowassa 2015 na Uchambuzi 'maridhawa' wa ndugu yangu Chahali kumhusu Lowassa. Nasema ngoja niendelee kuwa mpiga kura mtiifu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Siasa ni 'blariful' kabisa!!!!
 
MasanjaJF-Expert Member
[HASHTAG]#427[/HASHTAG]
Today at 11:17 AM

New
Ndo maana mimi mpaka leo mtu wa mwisho kumuamini kwenye maisha ya kila siku ni mwanasiasa! Hata hawa ninaowaona wanaimba mapambio wakimsifu JPM najua it is just a matter of time. Kila mtu anahangaikia tumbo lake.

Kila nikikumbuka Mange alivyomtukana Lowassa 2015 na Uchambuzi 'maridhawa' wa ndugu yangu Chahali kumhusu Lowassa. Nasema ngoja niendelee kuwa mpiga kura mtiifu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Siasa ni 'blariful' kabisa!!!!

Siasa has never been about nani kasema nini, kwa nani, kwanini, kivipi na lini. Siasa has always been about you. Kwanini ni vigumu mno kwa CCM kuondoka madarakani? Kwa sababu hiyo. Badala ya siasa kuwa about wananchi wenyewe wanaofanya maamuzi, na wanaoumia pindi wakifanya maamuzi mabovu, wameendelea kuifanya siasa kuwa ni kuhusu vyama vyao, which essentially havina tofauti kubwa, kwa sababu vyote vinalitumikia tabaka tawala.
 
Ila Chahali kwa kiasi kikubwa umepoteza imani ya kuaminiwa.
Nitabaki kusomaa maandiko yako kwa umakini mkubwa.
 
Ndo maana mimi mpaka leo mtu wa mwisho kumuamini kwenye maisha ya kila siku ni mwanasiasa! Hata hawa ninaowaona wanaimba mapambio wakimsifu JPM najua it is just a matter of time. Kila mtu anahangaikia tumbo lake.

Kila nikikumbuka Mange alivyomtukana Lowassa 2015 na Uchambuzi 'maridhawa' wa ndugu yangu Chahali kumhusu Lowassa. Nasema ngoja niendelee kuwa mpiga kura mtiifu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Siasa ni 'blariful' kabisa!!!!
I can understand where you’re coming from brother Masanja.
 
Yericko ni mkazi wa Mbutu Kigamboni bila shaka kanisa hilo litakuwa pale Mji Mwema njia panda kwenda south beach,kipepeo na sunrise
Pale nilishawahi kumuona Mabior Garang Mabior yule mshirika wa Machar
 
Back
Top Bottom