Kilio hiki bwana Lowassa utakilipia kabla ya 2015

Nakazia maneno, wewe ni muuaji na lazima nawe ufe tena ufe tukusahau kabisa kama Alvov Mejavic,

Miezi sita iliyopita ulijitwalia kwanguvu umiliki wa wana BODABODA katika ardhi ya Tanganyika bila hata kupitia PPR ama mbadulaluvanza, ukawajaza ujinga, ukawateka wakatekeka na ukawaambia wewe ni alfa na omega,

Leo serikali ya chama chako imekupiga ngwara, imechora mstari kwa bodaboda kuiona pepo ya mjini daslam, ndio hawatakiwi kula baga posta wala kuona vimini samora, umewanyima haki yao yamsingi yakustarehesha macho na roho zao,

Sasa wanalia kilio cha mbwa mwizi meno yote thelathina nje mbili. Hawajui wapeleke wapi hizo bodaboda, wapo wanaofikiria kuhamia Monduli huenda huko kukawa na unafuu maana nasikia wewe huko una jamhuri yako na utakuw rais wa Malaigwanani huko,

Tabia hii yakusaka umaarufu kwa nguvu utailipia tu utake usitake, na malupo yake ni kifo kama ulivyoua machipuzi ya makinda hawa wengi wao waliosoma shule za kata, umesababisha Muhimbili ifurike antena za vilema kwasababu yakusaka sifa zako,

Umewanunilia bodaboda huku ukijua sera ya chama chako haiwataki mijini?? Kweli wewe hufai hata kuwa mwenyekiti wa kwaya ya kanisa langu langu la Marastafari,

Nasema tena utalipa kwa kifo kitakatifu kabla ya 2015, kilio cha mnyonge kinabaraka za Jah.

Nyie vijana wa bodaboda, Chadema ndiemkombozi wenu kwa sera yake nzuri ya ajira kwa vijana, unganeni kuikomboa nchi dhidi ya majitu mumiani kama Edward Ngoyai Lowassa.
Nani anaweza kunisaidia kumwomba Yerico apitie maandishi yake haya leo.Je anastahili kuaminiwa?
 
19399277_309610492797109_335583796819263692_n.jpg
Kamanda alipotea njia![emoji23] [emoji23] [emoji23]

Arage Jekundu.
 
Huuuuuu uzi nimecheka,kweli hakuna aijuae kesho.Huwezi amini LEO Yericko ni team Lowassa.
 
Nakazia maneno, wewe ni muuaji na lazima nawe ufe tena ufe tukusahau kabisa kama Alvov Mejavic,

Miezi sita iliyopita ulijitwalia kwanguvu umiliki wa wana BODABODA katika ardhi ya Tanganyika bila hata kupitia PPR ama mbadulaluvanza, ukawajaza ujinga, ukawateka wakatekeka na ukawaambia wewe ni alfa na omega,

Leo serikali ya chama chako imekupiga ngwara, imechora mstari kwa bodaboda kuiona pepo ya mjini daslam, ndio hawatakiwi kula baga posta wala kuona vimini samora, umewanyima haki yao yamsingi yakustarehesha macho na roho zao,

Sasa wanalia kilio cha mbwa mwizi meno yote thelathina nje mbili. Hawajui wapeleke wapi hizo bodaboda, wapo wanaofikiria kuhamia Monduli huenda huko kukawa na unafuu maana nasikia wewe huko una jamhuri yako na utakuw rais wa Malaigwanani huko,

Tabia hii yakusaka umaarufu kwa nguvu utailipia tu utake usitake, na malupo yake ni kifo kama ulivyoua machipuzi ya makinda hawa wengi wao waliosoma shule za kata, umesababisha Muhimbili ifurike antena za vilema kwasababu yakusaka sifa zako,

Umewanunilia bodaboda huku ukijua sera ya chama chako haiwataki mijini?? Kweli wewe hufai hata kuwa mwenyekiti wa kwaya ya kanisa langu langu la Marastafari,

Nasema tena utalipa kwa kifo kitakatifu kabla ya 2015, kilio cha mnyonge kinabaraka za Jah.

Nyie vijana wa bodaboda, Chadema ndiemkombozi wenu kwa sera yake nzuri ya ajira kwa vijana, unganeni kuikomboa nchi dhidi ya majitu mumiani kama Edward Ngoyai Lowassa.
rubbish
 
Nawashangaa sana watu wanao amini kutoka mioyoni mwao kwamba wanasiasa huwa wanamaanisha wanayoongea zaidi ya kuangalia matumbo yao

Kweli pesa mwanakharam
Lowassa kawanunua wote hao
 
Kamnunua mpaka Yericko Kiboko Nyerere.
 
Nakazia maneno, wewe ni muuaji na lazima nawe ufe tena ufe tukusahau kabisa kama Alvov Mejavic,

Miezi sita iliyopita ulijitwalia kwanguvu umiliki wa wana BODABODA katika ardhi ya Tanganyika bila hata kupitia PPR ama mbadulaluvanza, ukawajaza ujinga, ukawateka wakatekeka na ukawaambia wewe ni alfa na omega,

Leo serikali ya chama chako imekupiga ngwara, imechora mstari kwa bodaboda kuiona pepo ya mjini daslam, ndio hawatakiwi kula baga posta wala kuona vimini samora, umewanyima haki yao yamsingi yakustarehesha macho na roho zao,

Sasa wanalia kilio cha mbwa mwizi meno yote thelathina nje mbili. Hawajui wapeleke wapi hizo bodaboda, wapo wanaofikiria kuhamia Monduli huenda huko kukawa na unafuu maana nasikia wewe huko una jamhuri yako na utakuw rais wa Malaigwanani huko,

Tabia hii yakusaka umaarufu kwa nguvu utailipia tu utake usitake, na malupo yake ni kifo kama ulivyoua machipuzi ya makinda hawa wengi wao waliosoma shule za kata, umesababisha Muhimbili ifurike antena za vilema kwasababu yakusaka sifa zako,

Umewanunilia bodaboda huku ukijua sera ya chama chako haiwataki mijini?? Kweli wewe hufai hata kuwa mwenyekiti wa kwaya ya kanisa langu langu la Marastafari,

Nasema tena utalipa kwa kifo kitakatifu kabla ya 2015, kilio cha mnyonge kinabaraka za Jah.

Nyie vijana wa bodaboda, Chadema ndiemkombozi wenu kwa sera yake nzuri ya ajira kwa vijana, unganeni kuikomboa nchi dhidi ya majitu mumiani kama Edward Ngoyai Lowassa.

Hii ndo inaitwa union ya ukweli.
Kama mwanamke mmoja bwana yake alitoka kwenda kazini, basi huyu mwanamke akapata wasaa akaita jamaa wa rafiki ili wale mambo, basi ile wapo wapo, mara mme akarudi ikabidi jamaa ajifiche uvunguni mwa kitanda. Hapo mwanamama ili kutaka kuua soo, akajidai anaenda dukani akidhani mmewe atamfuata ili jamaa atoke uvunguni. Mwanamke alivyoondoka tu, mume wake akapata wasaa akapiga simu kuita hawala ambaye ni mke wa jamaa aliye uvunguni, wakala vitu, mara mke wa jamaa akarudi kutoka dukani. Huyu mke nae ikabidi ajifiche uvunguni kukwepa kushikwa, huko uvunguni akakuta mmewe naye amejificha wakawa hawa namna ilibidi wavumiliane tu huko uvunguni.
 
Back
Top Bottom