Kilio cha Walimu nchini (mwaka 2021)

Mi nikajua unazungumzia HELA YA KUJIKIMU kwa walimu wapya mwaka 2020.

MISITA TENA.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Awamu hii number zimeanza kusomeka haraka sana na bado mpaka kama kenge mpaka damu zitoke ndiyo huwa anapata akili
 
Walimu na nyie acheni kilalamika kupita kiasi mnaonekana wajinga kwa ni kada gani imeongezewa mshahara?mbona wenzenu wamekaa kimya ?

Halafu huyo askofu mnae mwandikia huo waraka yeye ni nani na ana impact gani katika jamii na serikali kwa ujumla ?
 
sikuona sababu ya kuandamana
Sasa utamwitaje mwenzio mnafiki wakati wewe mwenyewe hukuona sababu ya kudai mabadiliko?Mwalimu amelazimishwa na dola akabadili matokeo akiogopa nguvu ya dola, wewe tumekubaliana utoke tuandamane kupinga kilichotokea ukajificha chooni ukiogopa nguvu ya dola. Sasa hapo ukihesabu wanafiki unawapata wangapi?
 
Nilichokitarajia ndicho kilichotokea ndo maana sikuandamana...unaenda kwenye uchaguzi na tume hii ya kipumbavu afu utegemee ushindi kweli??,
 
Nilichokitarajia ndicho kilichotokea ndo maana sikuandamana...unaenda kwenye uchaguzi na tume hii ya kipumbavu afu utegemee ushindi kweli??,
Hapo sasa umenena sawasawa kabisa. Tatizo letu si walimu. Walimu watu wanawaonea bure tu.Tatizo letu ni mifumo mibovu ya uchaguzi.
 
Hapo sasa umenena sawasawa kabisa. Tatizo letu si walimu. Walimu watu wanawaonea bure tu.Tatizo letu ni mifumo mibovu ya uchaguzi.
walimu wanatumika Kama kondomu miaka yote...lakini hawabadliki na hawana msimamo..
 
Kaeni kimya Tufanye maendeleo. Lakini vitu vingine vinatia hasira mshahara ule ule mdogo umeongezewa makato alafu wao wanajilipa mishahara minono na posho juu
Haya hamkuyajua kabla ya uchaguzi?
Askofu ungewajua walimu walivyo mazwazwa usingeweka waraka huu hapa.
Tafadhari hao usiwaendekeze, watakuondolea heshima yako mbele ya watanzania wanaokuamini.

Ukiweza waambie watubu woga na unafiki.
Tambua mmebaki viongozi was dini wawili tu mnaosimama kwenye kweli
 
Huwa nawashangaa Sana watu wanaolalamikia mfumo waliouweka ni sawa na kunywa sumu ukijua inaua.
Wao walikunywa sumu kwann wanapiga kelele,watulie
 
Walimu wa nchi hii Sina huruma nao. .
Walimu na mapolisi sio wa kuonea huruma wapigikapo na msoto,Kama ni kuni wasaidie wakata kuni waongeze magogo makubwa kabisa ya kuni Ili wakokeke vizuri kabisa.
Hawa ndio wanaiweka ccm madarakani.
 
Nyie walimu bora tu mkae kimya.

Tena tulieni hivyo hivyo kwa maana Nyie ndio mliotufikisha hapa

Aisee,
Dawa ya Deni siku zote ni kulilipa[emoji116]
 
Ualimu si laana Mkuu. Wanastahili heshima kubwa sana hawa lakini hii Serikali haramu ambayo haikupewa ridhaa na Watanzania imeamua kuwadharau sana Walimu.
kwa nchi hii ualimu ni laana
 
Walimu na mapolisi sio wa kuonea huruma wapigikapo na msoto,Kama ni kuni wasaidie wakata kuni waongeze magogo makubwa kabisa ya kuni Ili wakokeke vizuri kabisa.
Hawa ndio wanaiweka ccm madarakani.
Mkuu unandika haya kwa kujiamini naomba nikulize swali?. ulipiga kura 2020?. soo stupid unabwabwaja humu KURUSHA lawama na kura hukupiga ulitaka CCM iangushwe na bibi ako? ...nimesimamia uchaguzi Mkuu 2 times VIJANA WA bongo mbwa kabisa wanashinda vijiwen tu kuinanga serikal kura hapigi afu utasikia hata tukipiga zinaibiwa,, Any way UNAWEZA kutupa evidence jinsi walimu wanavyoiba hizo kura?
 
Ujui kitu pita kushoto
 
Jibu hili,
Ushahidi upo wa namna ngapi?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚yuko bafuni anapiga puli huku analaumu hovyohovyo wakati kura hajapiga. Anategemea CCM iangushwe na bibi yake
 
Hakuna chama kinachokiogopa serikali Kama cwt na kwa nyepesi wengi wa viongozi wake Ni makada wa CCM
 
..Safi sana...yaache yapigike maalimu...yenyewe ndio yametumika sana kuwaweka watawala madarakani..kupitia wizi wa Kura Kwa viapo...wacha yapigike..na Bado..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…