Kilio cha Tundu Lissu kiko hapa

Kilio cha Tundu Lissu kiko hapa

Tunasisitiza kwamba tukishinda mtatutangaza kwa shari au kwa heri , ni hiyari yenu kuchagua
Wenzenu wa CCM huitumia mbinu zote halali na haramu kuhakikisha wanashinda. Kwamfano jana mkuu wa wilaya ya magu alikuwa na kikao na waalimu kuwashurutisha waalimu kuichaguwa CCM, walimu walitishiwa kufukuzwa kazi endapo hawataichaguwa ccm, kwani anazo taarifa zao wanaotembea na wanafunzi.
Taarifa hii nimepewa na jamaa yangu mmoja ambaye ni mwalimu huko magu. Lakusikitisha zaidi ni kwamba, mkuu wa wilaya ya magu yupo tayari kuwavumilia waalimu wanaotembea na wanafunzi ilimradi tu wanaichagua CCM!.
 
Shetani haogopi uovu,Ila anaupenda,hivyo hau sii wakuwashangaa katika hayo.
 
Nimekuwa nikimsikia Tundu Lissu akilalamikia kanuni za uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2020.

Kweli ana haki ya kulalamika maana inawezekana kabisa mawakala wasipewe fomu za matokeo na hivyo kukosa ushahidi wa matokeo. Nadhani mkurugenzi wa uchaguzi alisemee hili. Soma kanuni husika:
Kanuni za uchaguzi mkuu 2020

63.-(1) The presiding officer at a polling station shall, after counting votes cast, record election results for the polling station in respect of Presidential election and Parliamentary election in Forms Nos. 21A and 21B respectively as prescribed in the First Schedule to these Regulations.

(2) The election results forms for each election shall be signed by the presiding officer or, as the case may be, a polling assistant and polling agents or candidates, and where the results forms are available in sufficient number, the polling agent or candidate may be given a copy of the forms. (kama fumu za matokeo zitakuwepo za kutosha basi wakala anaweza akapewa nakala ya fomu - tafsiri ni yangu mwenyewe)
Kwa kuwa kifungu hiki kilikuwepo pia kwenye sheria ya uchaguzi 2015 sec 79(A) 1.(e)lakini wakala walipewa fomu za matokeo, basi Mkurugenzi nwa uchaguzi alisemee hili ili wakala wapewe fomu hizo maana sioni sababu ya fomu hizo kuwepo chache kwenye vituo
Tume waliweka kanuni hizi ili kurahisisha wizi wa kura

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom