pole sana mkuu..kuwa confident na usiogope kuingia ofisi yoyote..omba appointment na mkurugenzi..secretary akiuliza kuhusu nini usiseme official sema personal issues..wewe ni nani kwake? Mwambie jamaa yake..in that way utafanikiwa kuonana na mabosi wengi...ukikutana nae mweleze ur story..mwambie kuhusu firm uliowai kufungua....nina uakika lazima utapata somebody who will be willing tu help you ata kuupa ushauri zaidi au kukuconect....najua it's hard but jaribu bcoz kuna watu nawafaham wamefanikiwa..
Tupo pamoko mkuu wangu,usikonde mwana job utapata tu,hata mimi nilisugua sana bench kitaa,na wapo kibao wako stree hawana ishu,mshikaji wangu mmoja ye kaamua kuwa fund anapiga tofali mbez na bachelor yake mkononi,so stick kumwomba mungu one day yes
Kaka pole sana! hizo ni harakati ktk maisha. Wewe ni kijana wa Taifa hili kama wengine ambao wanahangaika usiku na mchana kutafuta the better tomorrow! Stick to what u believe n God is going to make it happen
tupo pamoko mkuu wangu,usikonde mwana job utapata tu,hata mimi nilisugua sana bench kitaa,na wapo kibao wako stree hawana ishu,mshikaji wangu mmoja ye kaamua kuwa fund anapiga tofali mbez na bachelor yake mkononi,so stick kumwomba mungu one day yes
Kama uko Dar es Salaam jaribu kupitia kwenye ofisi za wahindi Pugu Road/Nyerere Road kuomba kazi kuanzia junction ya chang'ombe kuelekea airport unaweza bahatisha. Maana utakuta wahindi hawana personnel /human resource officer hivyo unaweza kubahatisha.
kusomea fakalt zingine ni noumer, hapo ungesomea zako ualimu ungekuwa unakula raha mshahara mnono!!!!!!!
ila pole mkuu, Mungu yuko pamoja na wewe, utashinda>>>>>>>>>>>>
naomba sana kwa nia njema hii iwe fundisho kwa wasomi wengine wanaongangani kusomea mambo magumu ambayo huja kusumbua kwenye suala la ajira!!!!!!!!!
Mazikukulwa you r in luck, my friend is looking for an HR assistant for a small growing company, salary is mearge but u have to start somewhere, send ur CV to info.hrct@hrct.co.tz leave your contacts and u will be called for a short interview probably during eid festivities, if u r good u will be hired immediately
Nakutakia kila la heri
Pole san ndugu ushauri wangu onana na watumishi wa mungu wakupe ushauri yamkini kuna laana au matambiko ya ukoo yamekufunga.dawa ni nguvu za mungu kutumika na kuyavunja maagano.tuwasiliane.boathy@yahoo.com
Mkuu Maziku..wana JF wengi wako nyuma yako..basi usisahau kusema kinachoendelea.na pia usisahau kufungua email na hata kupitia lile folder la scam kwani nyingine ujificha huko..