Kilio cha msaada wa dhati, nateseka

Pole sana mkuu, then try kutafuta hata shule ya private upige ufundishe angalau upate hela ya mboga.

Mimi nilisoma raman mapema japo 4m 6 nilipiga 1 nilianza kusomea ualimu nimekamata ajira then later naendelea na B.a human resource hapo hata huko mbele deal zikibuma narudi kukamata chaki maisha yanasonga.

Nakuombea kwa Mungu upate kazi.

hii stlye yako nimeipenda sana!nliwahi kuitumia wakati wa njaa kali ilinitoa sana.

Jipe moyo kaka tulimaliza wote huo mwaka ,ninaami kuna mwale wa matumaini. Usiogope kwa kuliweta tatizo ndo wakati wa kuinuliwa kwako may lord bless you always!

Pole sana ndugu, usikate tamaa mwamini Mungu atafanya kwa wakati wake unaofaa, yote hayo yatapita na kufika mwisho wake. Fuata ushauri mbali mbali waliotoa wadau hapa jamvini utakufaa

Nina imani uko serious kumsaidia huyu ndugu. Mungu akubariki na akupe mwongozo na hekima kwa kile unachomuandalia huyu ndugu yetu ili kiwe msaada.
Kuhusu picha itabidi askani? Na kama hana hata pesa ya kuskani itakuwaje?

Kama ana namba ya VODA anitumie namba yake walau nimpe hata hiyo 10,000 ajili ya nauli ya dala dala!

hii stlye yako nimeipenda sana!nliwahi kuitumia wakati wa njaa kali ilinitoa sana.

yap Mkuu, maisha ya sasa ni movie tosha so tunatakiwa tuwe actors.
Me nimetumia hiyo na nov/oct narudi varsity nasonga mbele huku ajira yangu mshahara kama kawaida.

Tumuombee dua mshkaji nae afanikiwe mana Bongo hii bila mkwanja ni jehanamu!

ahsanteni wakuu
yap Mkuu, maisha ya sasa ni movie tosha so tunatakiwa tuwe actors.
Me nimetumia hiyo na nov/oct narudi varsity nasonga mbele huku ajira yangu mshahara kama kawaida.

Tumuombee dua mshkaji nae afanikiwe mana Bongo hii bila mkwanja ni jehanamu!

Natumaini wameonesha niakukusaidia .POLE na usifanye makosa ukakata tamaa.Maungu akutangulie

Kwa kweli ingawa mi sio nilieleta hii mada lakini nimefurahishwa sana na watu wote waliochangia hii thread kwa kweli inatia moyo sana na naamini muanzisha thread lazima aondoke na kitu hapa. Mbarikiwe wakuu

Ahsanteni sana wadau kwa msaada mkubwa wa miongozo na maneno ya busara sana,siko kama nilivyokua,napata mwanga na matumaini mapya kwaajili yenu wadau.

nimependa sana ushauri mliompatia huyu ndugu yetu. haya ndio mawazo na faida tunazozihitaji katika jamvi hili

Back
Top Bottom