Kilimo kinavyonizidi kunitajirisha, milioni 50 kwa mwaka

Attachments

  • Screenshot_20231107-212011_Chrome.jpg
    Screenshot_20231107-212011_Chrome.jpg
    204.1 KB · Views: 11
Kama walivyopiga vijana pesa za ufuta msimu uliopita yaani duhhhh....kuna dogo alipiga milion 27 halafu hata miaka 28 hana yaaani hatari aisee
 
We ndio ulienda milembe


 
Achana na sele wa mboso kuna side mnyamwezi, kuna mtoto iddi, kuna ahmada cha pombe, halafu kuna bwana athumani.

Athumani akishalewa lewa.
Anashindwa kujielewa lewa.
Talilalila lila, chicha limemkolea.

😂🤣😂🤣🤣
Alafu kuna sele mtoto wa mzee Jabile 😂😂😂
Undava undava
 
Njooni na mashoka tung'oe visiki huku kwenye mashamba pori; tuzitumie hizi mvua za mafuriko kwa faida
 
Mtoto iddi nux, mtaalamu wa kupenya dirishani, aliwahi kumuibia mpaka majani.
😂🤣
Ye kila siku kesi haziishi mahamakani
Napita kona naona kundi la watu, wamembeba idd kaiba viatu vya watu 🤣🤣🤣
Iddi pasua kichwa aiseee!! Hii nyimbo kiroboto aliimba
 
Vijana kilimo sio cha maskini. Lima ukiwa na hela tu.

Nishawahi andika humu, nililima mara ya kwanza nikapiga hela nzuri. Mara zingine zote, nimeliwa kichwa, 3 times in a row.

Huyu dogo asiwafunge anajitambulisha tu humu.
 
Tueleze unafanya kilimo cha Nini. Kuchamba haisaidiii, between kila mtu Ana timeline yake hapa duniani. Otherwise Hongera sana
 
Nyie vijana endeleeni kupiga majungu na uzandiki maskani sie vijana wenzenu tunaendelea kupiga maokoto kwenye kilimo just imagine kama mie naweza.kuingiza milioni 50 kwa mwaka wewe kijana mwenzangu unashindwa nini? Nyie sio kazi.yenu kupiga majungu na uzandiki vijiweni? Na wengine kazi kuvuta bangi tu?

Vijana kwenye kilimo kuna hela.asiwaambie mtu aisee last year nili earn 30 milioni na this year nimekamata milioni 50 per year nyie wengine mtashindwa nini?

Au mnasubiria serikali yenu ya maCcm ikawapa ajira? Ajira si kitu ni michosho tu asiwaambie mtu si unaona mpaka nimebadilisha jina mpaka sasa najiita bilionaire kekeman?

Ebu fikiri kijana mdogo kama mime hata 30 sijafika ndiyo kwanza nipo 27 nina zaidi ya milioni 150 kwenye akauti wewe una nini? Yaani utakuta ndiyo kwanza una zaidi ya 30+ plus maisha yako hauyaelewi kabisa aisee poleni

Call me bilionaire kekeman, poleni mnashindwa njaa sie tunashinda.mijihela.
Siyo kila mtu anaweza kuthubutu kulima bangi mkuu. Wewe umejitoa sadaka-liwalo na liwe
 
Back
Top Bottom