Kilimo Kanda ya kaskazini msimu wa 2025

Kilimo Kanda ya kaskazini msimu wa 2025

anthopody

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2024
Posts
262
Reaction score
183
Limeni mazao ya muda mfupi,mwaka wa njaa huu nimepita jana hakuna mvua, mvua zitakata mwezi mei ni mwaka wa wakulima waliovuna kuinuliwa, asanteni
 
Limeni mazao ya muda mfupi,mwaka wa njaa huu nimepita jana hakuna mvua, mvua zitakata mwezi mei ni mwaka wa wakulima waliovuna kuinuliwa, asanteni
Kanda ya kaskazn mvua ndyo inakarbia kuanza ikipita mwez wa nne amna ktu ndyo tunaogopa mashamba tayar tumesha andaa tunasubr tu liamshe
 
Ifiki mahali tuachane na kilimo ca kutegei mvua
 
Back
Top Bottom