Kilimo cha Vanilla nchini Tanzania

Ni ngumu sana kuotesha Vanila, ndiyo maana unaona hailimwi kwa wingi. Binafsi sijawahi kukutana nayo kabisaa
wabongo tuna vituko, unasema ni ngumu kuotesha, ila hujawahi kutana nayo.

haha si matango pori ya story za whatapp na facebook. acha wazoefu waje walete uzoefu wa hali halisi kuliko nadharia
 
Mtoa mada umetoa mada nzuri, pia una nia nzuri. Ila ungeidadavua kidogo, kwa tusioijua tuijue kiundani kabisa. Inalimwaje, maeneo yapi, heka unapata kiasi gani cha mavuno, inatumika ktk yapi na yapi, wapi nk ungekuwa umesaidia sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vanilla inalimwa Uganda na sasa hivi Mkoa wa Kagera.

Ni zao lenye faida sana. Sasa hivi Kilo moja ni 120,000 kwa mkoa wa Kagera (Ingawa Mkulima bado anapunjwa) wanunuzi wakubwa ni Waganda na Kampuni nyingine moja ambao ndo wanashindana bei.

Zao hili linahitaji uangalizi sana hasa wakati linapotoa maua kwani inatakiwa kufanya kuunganisha maua yake kwa sababu hatuna nyuki wa kufanya natural pollination.

Ni bahati mbaya Wanzangu wa Bukoba hatujaliona hili zao km njia mbadala ya kututoa baada ya kahawa kufifia.

Vijana wengi wanalalamika ni zao ambalo linahitaji uangalizi lkn ukiwaulia wanafanya nini hakuna wanalofanya.

Mimi nimempa Kijana mmoja challenge. Nimeotesha miche 300 kwenye kisehemu changu huko Bukoba, nimemwambia aiangalie alafu atapata 20% ya faida. Sasa hivi imeshapandwa. Ntawawekea picha baadae
 
Mkuu it seems unaijua vizuri vanilla,
 
Mkuu Kagalala, vanilla inaweza limwa na kustawi vyema kule Vikindu Mkuranga kwa kuzingatia tabia ya nchi (climate)?
 
Miaka kama 12 nyuma, nilikua Uganda. Vanila ilipanda bei to almost 500$ per kilo, kiasi kwamba kila mtu akimibilia kulima... Wengine wali chukua mikopo benki na kwa bahati mbaya, bei ya Soko ilikuja kushuka to almost nothing... Waliochukua mikopo kidogo wachizike... Wengine wakafyeka mashamba yao kwa hasira...

Hizi biashara muda mwingine ni pasua kichwa
 
Mkuu Serio
Kama lilivyo zao lolote au biashara yoyote bei huwa inapanda na kushuka. Hautapata zao lolote ambapo bei inapanda tu siku zote. Hata share za Google, Facebook na ipple zinapanda na kushuka.
Unapolima kitu au kuamua kufanya biashara inabidi ujue ilo kuna What if bei inapanda na wewe hauna kitu cha kuweka sokoni?
Sasa hivi km nilivyosema bei ni 120,000 Mimi nilimpa kijana wangu target ya bei ya 15,000. Nikakwambia panda 300 kwa target ya kupata kilo 5 kila miche hata zikiwa kilo 2 bado atapata chochote kuliko alivyo sasa hivi.
 
wabongo tuna vituko, unasema ni ngumu kuotesha, ila hujawahi kutana nayo.

haha si matango pori ya story za whatapp na facebook. acha wazoefu waje walete uzoefu wa hali halisi kuliko nadharia
Povu lote hilo jazba za nini sasa?
Nilishawahi kutafiti kiasi kuhusu zao hilo ndiyo maana nimekwambia hivo, na mimi kukwambia hivo haimaanishi kwamba uache kufanya utafiti unaoufanya sasa.
 
Vanilla inalimwa Uganda na sasa hivi Mkoa wa Kagera.
Ni zao lenye faida sana. Sasa hivi Kilo moja ni 120,000 kwa mkoa wa Kagera (Ingawa Mkulima bado anapunjwa) wanunuzi wakubwa ni Waganda na Kampuni nyingine moja ambao ndo wanashindana bei.
Zao hili linahitaji uangalizi sana hasa wakati linapotoa maua kwani inatakiwa kufanya kuunganisha maua yake kwa sababu hatuna nyuki wa kufanya natural pollination.
Ni bahati mbaya Wanzangu wa Bukoba hatujaliona hili zao km njia mbadala ya kututoa baada ya kahawa kufifia.
Vijana wengi wanalalamika ni zao ambalo linahitaji uangalizi lkn ukiwaulia wanafanya nini hakuna wanalofanya.

Mimi nimempa Kijana mmoja challenge. Nimeotesha miche 300 kwenye kisehemu changu huko Bukoba, nimemwambia aiangalie alafu atapata 20% ya faida. Sasa hivi imeshapandwa. Ntawawekea picha baadae
Mbegu ulitoa wapi mkuu?
 
Nashukuru kwa somo.. Figures are my motivation.

Hekari moja kuisimamisha garama zake makadirio tunaomba..

Ma mapavuno ni kilo ngapi kama ulitunza fresh...

miche inakua mingap kwenye heka..

Makadirio ya chini ya faida kwa heka moja...

Agro Business Iringa
 
Natanguliza shukran... figure zikikaa poa maelezo yote ndio yanasomwa in deep na kuchukua notes. We all need money not vanila.. please tunaomba taarifa

Agro Business Iringa
 
Vanilla si kama figisu za kware au matikitimaji Root. Vanilla inauzwa katika international markets. Hata hapa Tanzania kuna viwanda vya chai vinanunua vanilla kuchanganya kwenye chai. Watengeneza kahawa (grade 1), Icecream na viburudisho mbalimbali wanahitaji vanilla. Shida ya vanilla kwa bukoba inaathiriwa sana na ukame/mabadiliko ya tabia nchi kwani vanilla inahitaji mvua nyingi sana.

Pia uwekezaji uwe tayari kuvumilia miaka 3. Na mdau mmoja kasema hakuna natural pollination katika vanilla, lazima uwe na vibarua wa kutosha tena waliofundishwa kufanya uchavushaji wa maua ndani ya siku 2.

Nilisikia morogoro na mbeya wanalima ingawa sina taarifa kamili. Nafahamu vyama viwili vya wakulima wa vanilla bukoba; moja Kamachumu vanilla farmers association kilichiopo Kamachumu Wilaya ya Muleba na Maruku farmers assocoaition sijui iko wapi.
 
Vanilla inalimwa Uganda na sasa hivi Mkoa wa Kagera.
Ni zao lenye faida sana. Sasa hivi Kilo moja ni 120,000 kwa mkoa wa Kagera (Ingawa Mkulima bado anapunjwa) wanunuzi wakubwa ni Waganda na Kampuni nyingine moja ambao ndo wanashindana bei.
Zao hili linahitaji uangalizi sana hasa wakati linapotoa maua kwani inatakiwa kufanya kuunganisha maua yake kwa sababu hatuna nyuki wa kufanya natural pollination.
Ni bahati mbaya Wanzangu wa Bukoba hatujaliona hili zao km njia mbadala ya kututoa baada ya kahawa kufifia.
Vijana wengi wanalalamika ni zao ambalo linahitaji uangalizi lkn ukiwaulia wanafanya nini hakuna wanalofanya.

Mimi nimempa Kijana mmoja challenge. Nimeotesha miche 300 kwenye kisehemu changu huko Bukoba, nimemwambia aiangalie alafu atapata 20% ya faida. Sasa hivi imeshapandwa. Ntawawekea picha baadae
Mkuu naomba kujua gharama ulizotumia kuotesha hiyo miche 300 na kwa ekari ngapi.asante.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vanilla si kama figisu za kware au matikitimaji Root. Vanilla inauzwa katika international markets. Hata hapa Tanzania kuna viwanda vya chai vinanunua vanilla kuchanganya kwenye chai. Watengeneza kahawa (grade 1), Icecream na viburudisho mbalimbali wanahitaji vanilla. Shida ya vanilla kwa bukoba inaathiriwa sana na ukame/mabadiliko ya tabia nchi kwani vanilla inahitaji mvua nyingi sana. Pia uwekezaji uwe tayari kuvumilia miaka 3. Na mdau mmoja kasema hakuna natural pollination katika vanilla, lazima uwe na vibarua wa kutosha tena waliofundishwa kufanya uchavushaji wa maua ndani ya siku 2.
Nilisikia morogoro na mbeya wanalima ingawa sina taarifa kamili. Nafahamu vyama viwili vya wakulima wa vanilla bukoba; moja Kamachumu vanilla farmers association kilichiopo Kamachumu Wilaya ya Muleba na Maruku farmers assocoaition sijui iko wapi.
Mbeya vanilla hamna,nilifuatilia sana,ila wakoloni walileta hilo zao mbeya wilaya kyela,ila wenyeji wakaona linawasumbua namna ya kuliendesha hasa kuchavua,wakayafyeka yote.

Wanyaki na shuruba wapi na wapi
 
Mi nalima hii kitu. Miche yangu imefikia hapa
39058b6c3d79bbcf98203e54e6bc118c.jpg
d9de447eca2b1642c10c4b56d57404b6.jpg
2c8877373dcb30d4a77ab5f8844cf9b1.jpg

Hate me at your own risk
 
Back
Top Bottom