Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 4,941
- 6,192
Sio kweli, Mbeya, Njombe wananunuzi wanakuja nyumbani kwako kununua hata kama una mti mmoja.kampuni ya Rungwe wao ndio kidogo wanamasharti hasa ya usafi, mti usiwe karibu na jalala au choo. Hata hivyo soko la ndani ni kubwa sana maana hatuna mahekta ya parachichi panda tu parachichi isitoshe wakenya ndio huja nyanda za juu kununua hivyo Arusha ni karibu kabisa na wakenya unaweza tafuta connection.Hili zao kweli ni deal ila mpaka uliuze ni mziki na wengi hawajui hili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo njombe na mbeya utawakuta wanunuzi.Rungwe compony ni moja ya kampuni zinazonunua avocado ila vigezo lazima vizingatiwe.We hiyo bei ya wapi, msimu huuu april kilo ya parachichi ni sh.1600
Ni
Njoo njombe na mbeya utawakuta wanunuzi.Rungwe compony ni moja ya kampuni zinazonunua avocado ila vigezo lazima vizingatiwe.
Kweli mkuu Rungwe avocado wako vizuri SanaKabla hujaingia huku plzzzz fika rungwe avocado hapo utapata utaratibu mzima
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanataka parachichi isiopita kwenye kikkmbe cha chai ndio standard yao.unataka wachume hadi vidogo, hivi wewe ukienda kununua paraachich sokon unachagua hadi tudogo?Hao Rungwe Avacado wanapatikana vipi? Una contacts zozote namba za simu .... msaada wako Mkuu.
Wakulima wengi avacado zinaozea mashambani. Wachuuzi toka Kenya sijui wameingiwa na nini? Kibaya zaidi hata wakija kuvuna kwako wanavuna wanayotaka wao hayo mengine sasa inakuwa vigumu kupata mnunuzi.
Though wana ukiritimba fulani ivi inataka moyo kukomaa naoNdio mkuu, ni wazungu watoa miongozo/vyeti kwa wakulima na wanaexport. Utalima utawauzia wao
Sent using Jamii Forums mobile app
Kusini hili zao huitwa green gold, wengi wametoka.
So far kuna mpaka viwanda vya usindikaji MBozi na NJombe vimeanza kujengwa. Ukipanda hass which mature at the age of 2.5 to 3 years, mti mmoja hutoa matunda 300 kwa mwaka mpaka 500. UKiwa na miti 70 kwa eka manake una matunda 21,000 sawa na 7000kg. Assume kilo moja ni 1500tshs (bei ya leo Njombe iyo) kwa eka unapata 10.5mil ukiwa na eka kumi sawa na 105mil kwa mwaka ambayo kwa mwezi ni sawa na mapato ya 8.7mil (mshahara wa mkurugenzi huo tena gross nadhani ikija take home lazima alambe 5mil)
Just assume mwaka mbaya ukapata just nusu ya iyo 105mil maisha yanasonga huna haja ya kuajiliwa ni kutafuta mtaji panda parachichi.
Mambo iko uku wahi mashamba Moshi Mbeya na NJombe kuwa na better future yako na ya wanao
Signature
Mbeya na Moshi ndo wana hayo masharti ila Njombe naona wananunua parachichi ili mradi ni HASSMkuu hivi hao wanunuzi sio hawa wanaotoa masharti kwamba lazima itumike mbolea ya wanyama tu au?
Mbegu bora ni HASS ni nzuri kwa maana kiwango cha mafuta, palatability na shlev life yake ni kubwa sanaPanda mbegu moja inaitwa Hass. Kwanza ndo parachichi tamu zaidi likiiva na yanapelekwa hadi masoko ya nje, kama unafanyia Moshi nenda Usa River Arusha, kuna chama kinaitwa TAHA. Ukiweza waGoogle watakupatia mbegu idadi yeyote utakayo; hata miche na unapewa bure yakiiva wanakutafutia na soko wao wanakukata asilimia 10% ya malipo yako, hawana wizi wala konakona wateja wanao tayari.
Na Iringa mkuu huko wilaya ya Kilolo kuna mzungu moja amepanda ekari za kutosha!Sio kweli, Mbeya, Njombe wananunuzi wanakuja nyumbani kwako kununua hata kama una mti mmoja.kampuni ya Rungwe wao ndio kidogo wanamasharti hasa ya usafi, mti usiwe karibu na jalala au choo. Hata hivyo soko la ndani ni kubwa sana maana hatuna mahekta ya parachichi panda tu parachichi isitoshe wakenya ndio huja nyanda za juu kununua hivyo Arusha ni karibu kabisa na wakenya unaweza tafuta connection.
Wakenya wenzetu wana export to UK. Jambo lingine ni kwamba Parachichi za Tanzania zinaenda msimu tofauti na ulaya hata tulime ardhi ya mikoa yote inayostawi parachichi hatutoshelezi soko la dunia. Mikoa inayastawi parachichi ni Mbeya, Njombe, Arusha Kilimanjaro, Kgera na Kigoma. Kila sehemu inayostawi kahawa na chai parachichi itakubali.
Katavi sio maeneo salama kwa parachichi mkuu kwa namna nilivo izunguka japo inaweza kustawi lakini haitaweza kukidhi viwango stahiki vinavyotakiwa katika soko la kimataifa na hata la ndani. Katavi ardhi yake ni kichanga na hali ya hewa ni joto zaidi kama sikosei wakati huo parachichi inataka sehemu ya tifutifu zaidi na mfinyanzi napo panafaa, hali nzuri ya hewa na maji ya kutosha.Kama kuna mtaalamu wa kilimo naomba msaada kwa maeneo ya huku katavi-inyonga nimepanda miche ya parachichi nataka kuwekeza.
Je kwa eneo letu huku ninaweza kupata matokeo chanya?
Vipi hali ya hewa ya MBINGA - Ruvuma inaweza faaKatavi sio maeneo salama kwa parachichi Mkuu kwa namna nilivo izunguka japo inaweza kustawi lakini haitaweza kukidhi viwango stahiki vinavyotakiwa katika soko la kimataifa na hata la ndani. Katavi ardhi yake ni kichanga na hali ya hewa ni joto zaidi kama sikosei wakati huo parachichi inataka sehemu ya tifutifu zaidi na mfinyanzi napo panafaa, hali nzuri ya hewa na maji ya kutosha.
Kwa Sumbawanga ukipata eneo itakuwa vizuri zaidi au Nkasi.
Ukifanya na taratibu za kujiunga na ushirika wa UWAMARU itakuwa jambo la kheri zaidi sababu hata pindi wakati wa mavuno ukianza itakuwa rahisi kuunganishwa na wanunuzi. Jambo la msingi kuhamasisha na wengine wengi zaidi ili hata mnunuzi anapo toka Mbeya kuja Rukwa asije kwaajili ya 1tone.
Wanunuzi wapo wengi tu ila niutayari wako kuchangamkia fursa na tunavoendelea mbele zaidi wanazidiongezeka sababu ya ujio wa ndege ya mizigo kuanza kutua Songwe International Airport ndani ya mwaka huu kulingana na maelezo ya Waziri Mwenye dhamana.
Ndio Mkuu Mbinga pia inakubari vizuri sana nako kiufupi ukanda wote wa nyanda za juu kusini nilishangaa kuona hata bonde la usangu nako zinaota.Vipi hali ya hewa ya MBINGA - Ruvuma inaweza faa
Duuh! Ngoja nijaribu kwani nimekwisha panda miche 150 na kisima kwaajili ya umwagiliaji kiangazi nimechimba, pia nilitaka kutafuta shamba jingine ili niweze kujiunga na kampun hizo hapo juu ili kupata miche toka kwao pia na ushaur kwa kila hatua.Katavi sio maeneo salama kwa parachichi Mkuu kwa namna nilivo izunguka japo inaweza kustawi lakini haitaweza kukidhi viwango stahiki vinavyotakiwa katika soko la kimataifa na hata la ndani. Katavi ardhi yake ni kichanga na hali ya hewa ni joto zaidi kama sikosei wakati huo parachichi inataka sehemu ya tifutifu zaidi na mfinyanzi napo panafaa, hali nzuri ya hewa na maji ya kutosha.
Kwa Sumbawanga ukipata eneo itakuwa vizuri zaidi au Nkasi.
Ukifanya na taratibu za kujiunga na ushirika wa UWAMARU itakuwa jambo la kheri zaidi sababu hata pindi wakati wa mavuno ukianza itakuwa rahisi kuunganishwa na wanunuzi. Jambo la msingi kuhamasisha na wengine wengi zaidi ili hata mnunuzi anapo toka Mbeya kuja Rukwa asije kwaajili ya 1tone.
Wanunuzi wapo wengi tu ila niutayari wako kuchangamkia fursa na tunavoendelea mbele zaidi wanazidiongezeka sababu ya ujio wa ndege ya mizigo kuanza kutua Songwe International Airport ndani ya mwaka huu kulingana na maelezo ya Waziri Mwenye dhamana.
Hapana Mkuu biashara huwa haturuhusu kujaribu huwa tunafanya ila kwa ushauri zaidi usingefanya kuongeza shamba jengine kwasababu kwa mnunuzi kufunga safari kuja kuchuma matunda kwenye miti 150 ambayo nisawa na ekari moja inaweza kuwa ngumu kidogo hasa ukiangalia katika mkoa huo wa katavi mkawa wa chache mnaolima. Sina maana kwamba uache kulima ila maada ya miaka kadhaa ikishakua nakuanza kutoa matunda unaweza kuwa msambazaji mwenyew hapo katavi sababu asilimia kubwa ya matunda ya parachichi kwa hapo wanatoa sumbawanga na Mbeya.Duuh! Ngoja nijaribu kwani nimekwisha panda miche 150 na kisima kwaajili ya umwagiliaji kiangazi nimechimba, pia nilitaka kutafuta shamba jingine ili niweze kujiunga na kampun hizo hapo juu ili kupata miche toka kwao pia na ushaur kwa kila hatua.
Mazingira yananibana kutoka hapa na kwenda maeneo hayo kwa ufuatiliaji wa maendeleo ya mradi mara kwa mara
Africado sina hakika kuhusu bei lakini njombe, rungwe bei ni 1450-2000 kutegemea na ubora. Average matunda 3 ni kilo moja.Samahani mkuu
Eti hawa Africado wananunua shilingi ngapi kwa moja moja haya maparachichi Organic?
Mkuu rais atakwenda kufungua rungwe avocado j3 au j4 bila shaka mengi mazuri kuhusu muelekeo wa avocado yataongelewaKusini hili zao huitwa green gold, wengi wametoka.
So far kuna mpaka viwanda vya usindikaji MBozi na NJombe vimeanza kujengwa. Ukipanda hass which mature at the age of 2.5 to 3 years, mti mmoja hutoa matunda 300 kwa mwaka mpaka 500. UKiwa na miti 70 kwa eka manake una matunda 21,000 sawa na 7000kg. Assume kilo moja ni 1500tshs (bei ya leo Njombe iyo) kwa eka unapata 10.5mil ukiwa na eka kumi sawa na 105mil kwa mwaka ambayo kwa mwezi ni sawa na mapato ya 8.7mil (mshahara wa mkurugenzi huo tena gross nadhani ikija take home lazima alambe 5mil)
Just assume mwaka mbaya ukapata just nusu ya iyo 105mil maisha yanasonga huna haja ya kuajiliwa ni kutafuta mtaji panda parachichi.
Mambo iko uku wahi mashamba Moshi Mbeya na Njombe kuwa na better future yako na ya wanao.