Kilimo cha mtama | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kilimo cha mtama

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Helios, Jul 7, 2012.

 1. H

  Helios JF-Expert Member

  #1
  Jul 7, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 396
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Wadau,
  kampuni za TBL na SBL nasikia wameanzisha kilimo cha mkataba cha mtama kwa ajili ya kutengenezea bia. tafadhali mwenye details zaidi na uzoefu anijuze. nataka kuinvest katika hicho kilimo. asanteni
   
 2. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #2
  Jul 7, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  Mkuu ni kweli kabisa TBL huwa wananunua Mtama kwa ajili ya kutengenezea BIA, Ila nijuavyo mimi ni TBL pekee ndo wananunua mtama kwa ajili ya BIA YA EAGLE LAGER na hii bia inatengenezwa na kiwanda cha ARUSHA PEKEE KWA MWANZO ILA KWA SASA SIJUI KAMA INATENGENEZWA NCHI NZIMA MAKE MIMI SIO SHABIKI
  kwa SBL sijui kama wana BIA inayo tumia Mtama kama TBL walivyo na EAGLE


  NA MWISHO kuna Aina ya Mtama si kwamba wananunua MTAMA wa aina yote, Na wao ndo wanakupatia Mbegu za Kupanda make wanazo Mbegu za huo Mtama

  Kuna kipindi nikuwaga Babati niliona wakigawa Mtama kwa wakulima ila ni miaka mingi imepita sijui now day
   
 3. H

  Helios JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 396
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Thanks mkuu, wadau wa haya makampuni ya bia watujuze zaidi
   
Loading...